Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
HIVI HUYU cr7 SIO YULE SHOGA?CR7 KACHUKUA MARA NGAP
kila nikiliona hili jina naikumbuka ile picha akiwa amepakatwaCR7 KACHUKUA MARA NGAP
Yaya Toure kiwango kimepungua aache kulialia na kibaya zaidi mwaka 2015 alizidi kuchemka,huku kulalamika kunazidi kumshushia heshimaHatuangalii ni mara ya ngapi kushinda kwahiyo mmemnyima tuzo kwa 7bu amechukua mara nyingi?Messi na Ronaldo wamechukua Zaidi ya Mara 7 wamekuwa wakipokezana mbona hawatolewi kwa 7bu wameshabeba Mara nyingi?? Tunachoangalia ni ubora wake yy na msaada kwa klabu na Taifa lake
Aubameyanga kaisaidia nini GABON na BVBHakuna km Aubemeyang pia. Huyu si ndie aliyeisha kiwango mpk akataka kuuzwa??? Dharau zake zitamponza,asijiamini sana kihivyo
Umenena tima lake BVB lilikoswa koswa kushuka darajaKuuzwa mchezaji sio lazima kuisha kiwango kuna mambo mengi yanasababisha mchezaji kuuzwa huyo Aubemeyang wako kwa ligi km EPL au Laliga level ya timu kwake ni Malaga ,Swansea ama Southampton.
Katukana wapi?? Yaya anasifa zifuatazoyaya ni floopy kama huamini mwakani anakuja gurdiola na viungo wake wa maana utaona kama huyo mtumbo yaya atapata namba labda ahame, huchelewi kumsikia akilalamika kuwa hapangwi kwasababu ya rangi yake(racism) huku katutukana waafrika wenzake, pathetic toure.
Alitaka avunje record,ndo maana kaumia sana maana angechukua mara tano yeye ndo angekuwa wa kwanza kufanya hivyo,anaona jamaa wamembaniaNimemdharau, pia ktk hii interview kuna mahali anakubali kuwa Messi anashinda trophies ila ronaldo anashinda ballon d'or, hiyo sababu ni ulaya anaona iko sawa! Hovyo kabisa, kashinda mara nne ila anaona wenzake hawastahili?
Keki na uwezo wa uwanjani wapi na wapi??Mmesahau aliwahi kuinunia timu kisa hakupewa keki ya birthday. Huyu jamaa ni pwimpwi kweli.
Usijibu kwa kutumia historia ya miaka ya nyuma,Leta hizo statistics kati ya Toure na Auba za mwaka 2015Katukana wapi?? Yaya anasifa zifuatazo
Anakaba
Anafunga
Anatengeneza nafasi
Anaendesha team
Anashambulia
Na anasifa ya kuwa kiongozi bora kiwanjani.
balon dor haitolewi kwa season year bali calendar yearKwani Aubemeyang kachukua mara ngapi?
Msimu uliopita Messi aliisaidia Barca kuchukua baadhi ya vikombe, ila ni ronaldo ndo alishinda Ballon d'or! Kwa fifa na europe ni sawa ila kwa afrika sio saw??
Haujui yaya ana africa cup of nationa auUsijibu kwa kutumia historia ya miaka ya nyuma,Leta hizo statistics kati ya Toure na Auba za mwaka 2015
Aubameyang 2015 ilikua chupu chupu ashuke darajaUsijibu kwa kutumia historia ya miaka ya nyuma,Leta hizo statistics kati ya Toure na Auba za mwaka 2015
Huyu nae mbona anakuwa kama Ally Kiba!!! Kwann haamini kama wenzake wanaweza????? Mbona umri wake na vitu alivyoviongea ni tofaut?????Habari za jioni!
Nimeingia mtandao wa BBC Sports nikashangaa jinsi nguli wa soka Afrika Yaya Toure akiongea upuuzi. Naona kama hajakubaliana na Aubemeyang kushinda tuzo! Yeye ni role model, akubali kuwa kuna kushindwa mida fulani! Sio kuongea pumba!
NIME-COPY NA KUPASTE TOKA BBC maelezo yake haya chini,
Manchester City midfielder Yaya Toure has reacted angrily after failing to win the Confederation of African Football's player of the year award.
Toure captained Ivory Coast to 2015 Africa Cup of Nations victory but came second to Gabon and Borussia Dortmund striker Pierre-Emerick Aubameyang.
"I think that's what makes the shame of Africa," he told Radio France International.
"To behave in this way is indecent! But what can we do?"
'Yaya will look after himself'
Toure had won the CAF award for the previous four years and was recently crowned BBC African footballer of the year for 2015.
Aubameyang, 26, became the first player from Gabon to win the award.
He has scored 18 goals in 17 Bundesliga games this season and a total of 68 goals in 119 games since joining the German club from French side St Etienne in 2013.
However, Gabon were eliminated at the group stage of last year's Africa Cup of Nations.
"We Africans, we do not show that Africa is important to us," added 32-year-old Toure.
"We give more priority to what's going on elsewhere than in our own continent. This is what is appalling.
"I give an example: it's Lionel Messi who wins all the trophies but it's Ronaldo who is Ballon d'Or. What would you say? It would be unfair."
"Yaya will look after himself, and let Africa look after itself. Like I'm often told, you shouldn't worry too much about Africa, because Africa will be the first to let you down."
Link hii hapa, BOFYA HAPA.
Yaya Toure amekuwa mchezaji bora mara nne na hakuwahi kuchukua ubingwa wa Africa mbona hao waliochukua ubingwa hawakulalamika?Unajua kuna vitu tunapaswa kuvichukulia kwa uzito wake ni ajabu Ivory coast miaka yote ina kamata mxhindi wa tatu na nne yaya anakuwa boora Afrika Leo nchi imekuwa bingwa chini ya Kapteni Yaya kwa mara ya kwanza kwenye CAF tournament af anapewa mtu mwingine ambaye hana lolote la kujivunia yy na bara hpn hii ni aibu kwa Afrika kuliko neno lenyewe aibu lilivyo shame on Hayatou na CAF yake kwa jumla.
Kuchukua ubingwa wa Africa sio benchmark ya kuwa mchezaji bora,Toure amekuwa mchezaji bora mara 4 mfululizo na hakuwahi kuchukua huo ubingwa wa AfricaAubameyang 2015 ilikua chupu chupu ashuke daraja
...kumbe ubingwa wa Africa hauna maana! ndio maana wachezaji wengi wa nje huwa wanasingizia ugonjwa,ili wasije kujichosha huku!!Kuchukua ubingwa wa Africa sio benchmark ya kuwa mchezaji bora,Toure amekuwa mchezaji bora mara 4 mfululizo na hakuwahi kuchukua huo ubingwa wa Africa