Yedioth Ahronoth: Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa/kujeruhiwa katika miezi 9 iliyopita ya vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanakumbi.

YERUSALEMU

Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili.

Gazeti la Yedioth Ahronoth lilisema wanajeshi 1,000 wanahamishwa kila mwezi hadi idara ya ukarabati ya Wizara ya Ulinzi kutokana na majeraha waliyopata katika vita vya Gaza.

"Jeshi linakabiliwa na uhaba wa askari wasiopungua 10,000 waliouawa au kujeruhiwa wakati wa miezi mingi ya mapigano katika Ukanda wa Gaza," gazeti la kila siku lilisema.

Gazeti hilo lilikosoa Knesset (bunge la Israeli) kwa kwenda mapumziko ya kiangazi kuanzia Julai 22 hadi katikati ya Oktoba bila kupitisha sheria ya kuongeza utumishi wa lazima wa kijeshi.

"Hakujawa na hali kama hiyo katika historia ya vita vya Israeli ... ambapo askari wanapigana ndani ya ardhi ya adui, chini ya hali mbaya, kwa miezi 10 mfululizo," mama wa mwanajeshi wa Israeli katika Brigedi ya jeshi la Nahal aliiambia Yedioth Ahronoth.

Kulingana na gazeti hilo, wanajeshi wa kike wanaohudumu katika Milima ya Golan ya Syria inayokaliwa na Israel waliarifiwa bila kutarajia kuhusu kuongezwa kwa miezi minne ya ziada ya huduma yao.

Israel, ikikiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano, imekabiliwa na shutuma za kimataifa kutokana na kuendelea na mashambulizi ya kikatili dhidi ya Gaza tangu mashambulizi ya Oktoba mwaka jana na kundi la muqawama la Palestina Hamas.
=====================

JERUSALEM

At least 10,000 Israeli soldiers have been killed and injured since the outbreak of the Gaza conflict last Oct. 7, according to Israeli media on Sunday.

Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defense Ministry’s rehabilitation department due to injuries sustained in the Gaza war.

"The army is suffering from a shortage of at least 10,000 soldiers killed or wounded during the long months of fighting in the Gaza Strip,” the daily said.

The newspaper criticized the Knesset (Israel’s parliament) for going on summer break from July 22 until mid-October without passing legislation to extend mandatory military service.

“There has been no such a situation in the history of Israel’s wars…where soldiers fight inside enemy territory, under unfavorable conditions, for 10 consecutive months,” the mother of an Israeli soldier in the army’s Nahal Brigade told Yedioth Ahronoth.

According to the newspaper, female soldiers serving in Israel-occupied Syrian Golan Heights were unexpectedly informed of an additional four-month extension of their service.

Israel, flouting a UN Security Council resolution demanding an immediate cease-fire, has faced international condemnation amid its continued brutal offensive on Gaza since an attack last October by the Palestinian resistance group Hamas.

Habari zaidi bofya hapa chini
👇🏽

Military service of female soldiers in Israel-occupied Golan Heights extended by 4 months, according to Israeli media - Anadolu Ajansı At least 10,000 Israeli soldiers killed, injured in Gaza war: Report
 
Hapo kapigana na Hamas walio na silaha za kuokoteza.
Je angepigana na jeshi kamili lenye vifaa kama vyake ingekuaje?
 
Nilikuwa na Imani sana na jeshi la Israel, ila Kwa hizi taarifa naanza kutilia shaka Imani yangu sasa.
Hii si ndio itakumaliza nguvu kabisa!?

Screenshot_2024-07-29-20-30-13-04_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-07-29-20-30-36-54_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Wangekuwa Al Jazeera wamesema hizi habari ndiyo wangepinga sasa wamesema wenyewe.
Na vifo ni zaidi ya hivyo 10,000 ila hapo wanaficha tu.
Mkuu kama vifo vingekuwa vya kawaida serikali isingelazimisha raia kujiunga jeshini kilazima.
Jeshi la Israel limeparaganyika na wengine wamekua traumatized kutokana na mapigano wengi wagonjwa wa akili.
 
Propaganda huku watu wanauawa kila siku na kila mtu anaona, na hapo marekani anampa kila kitu bado hajiwezi
Mh,sawa.Kiufupi kiumbe kile ni hatari Zaid ya ufahamu wako.

Matukio yanapigwa Hadi kwenye ardhi ya Iran🤔.
Afu mnakuja na maneno ya kujifariji.

Ngoja Uturuki nao mda si mrefu watapata stahiki zao.

Kiumbe kile ni hatari,kataa kubali ila ukweli unajidhihilisha.
Ishu ya Marekani Ile ni kuwaambia waalabu wasijizime data.
Maana ndo wafadhili wa makundi yote na ndo maana Sasa kama unajua kiongoz wa kundi lolote akipoga kwenda Israel.Jua hata kama yupo kwako atapigiwa kwako na maiti yake wewe ndo utaipeleka kwao😂😂😂😂
 
Iran atumie chance hii kumchapa mzayuni anasubiri nini?kama ameshaelemewa upande mmoja kama ilivoandikwa hapo akija na muiran saa nne asubuhi tu anafunga hesabu.

Au labda amestuka zayuni ametunga uwongo ili kumvutia ajichanganye amtandike,huwezi kujua lakini Mimi naona huu ndiyo ulikuwa wakati sahihi kufunga kazi
 
Back
Top Bottom