Yehodaya nawaageni jamii forums nitakuwa masomoni tutaonana Sept.2020

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020.

Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea

I will miss you all
 
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020.Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea

I will miss you all
tutakukumbuka sana,daaahh-nikikumbuka vituko vyako!!!,aiseee tutakukumbuka mno.

huko hamruhusiwi kwenda na simu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utaweza kukaa hadi sept bila kuchungulia humu?
 
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020.Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea

I will miss you all
Itakuwa malipo yamesitishwa au mmezinguana, na sasa umeamua kuanza na ID mpya...
 
Sawa ila ukirudi upunguze kusifu na kuabudu green.
 
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020.Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea

I will miss you all
Yaani unaaga JF kama ni mjengo fulani PPF tower hivi? Masomo mema mkuu.
 
Kwahiyo kwenye payrollya buku7 kutoka kwa slowslow haupo tena ?
 
Kiongozi mkuu wa mataga safari njema na shule njema. Utakua unaenda eitha china au urusi.
 
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020.Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea

I will miss you all
Weeeeweeee! Kwani unakoenda Jf haifiki? Nina wasiwasi na kusoma kwako! Au unaenda North Korea?
 
Kwa Chama ulicho nacho.......
Unavyokipambania......
Kinachofuata badala ya hio sept.....
Na Mada yako yenyewe......

Basi ukiunganisha hizo dot waweza ujue unaenda kusomea nini.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020.Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea

I will miss you all
Nenda na huko unakoenda nenda tena hata usiporudi pote la mbali hata ukifia huko ukamwambie nýerere tz yake kwa sasa inashikiliwa na wakimbizi
 
Back
Top Bottom