Yemen imeionya Italia itaishambulia.

Yemen imeionya Italia itaishambulia.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐀𝐒𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️

𝐘𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐰𝐚𝐫𝐧𝐬 𝐈𝐭𝐚π₯𝐲 𝐟𝐨𝐫 𝐭𝐑𝐬𝐞 πžβ€¦

Yemen imeionya Italia kuwa itashambulia kambi ya Italia huko Djibouti ikiwa itaunga mkono operesheni za Israel.

Ndege za Italia zilisaidia kujaza mafuta ndege za Israel kushambulia Yemen...

View: https://x.com/iranspec/status/1816471284387312063?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Watoto wa Quran wanacheksha sana wakiwa wanatoa Mikwara.. kile kisasi chao bado wanakitoa kwa mdomo tu bila vitendo.. ila at least wanajigamba and nasikia wameidhisha sikukuu ya kuua Muisrael for the first time katika historia yao ya vita... Sherehe zitafanyika kila mwaka
 
Wanaukumbi.

⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐀𝐒𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️

𝐘𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐰𝐚𝐫𝐧𝐬 𝐈𝐭𝐚π₯𝐲 𝐟𝐨𝐫 𝐭𝐑𝐬𝐞 πžβ€¦

Yemen imeionya Italia kuwa itashambulia kambi ya Italia huko Djibouti ikiwa itaunga mkono operesheni za Israel.

Ndege za Italia zilisaidia kujaza mafuta ndege za Israel kushambulia Yemen...

View: https://x.com/iranspec/status/1816471284387312063?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kuna bwege hapa alituambia F35 inaweza kutoka Israel kwenda nakurudi bila kuwarefuel nilimjibu kuwa kwa namna navyo zifahamu ndege za kivita haiwezekani mpaa ziwe refuel.

Akajidai Israel ana technology πŸ˜„

Mimi na uhakika kila siku zikienda Yemen watafatilia footprint za hizo ndege lazima wameshiriki nchi za kiarabu kuidhuru Yemen kama si Saud Arabia au Egypt pamoja na Jordan, itakuwa ajabu kubwa sana.

Israel anakuzwa tu hilo dola la kifake halijawahi ingia vita bila kusaidiwa.
 
Kuna bwege hapa alituambia F35 inaweza kutoka Israel kwenda nakurudi bila kuwarefuel nilimjibu kuwa kwa namna navyo zifahamu ndege za kivita haiwezekani mpaa ziwe refuel.

Akajidai Israel ana technology πŸ˜„

Mimi na ujakika kila siku zikienda Yemen watafatilia footprint za hizo ndege lazima wameshiriki nchi za kiarabu kuidhuru Yemen kama si Saud Arabia au Egypt pamoja na Jordan, itakuwa ajabu kubwa sana.

Israel anakuzwa tu hilo dola la kifake halijawahi ingia vita bila kusaidiwa.
Its Good kusema Israel hajashambulia paza basi sauti ili waarabu waanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe... some people will support you for this Taqiyya hahaha

Usumbufu wa Houth wa Yemen hausumbui sana kivile Israel.. Egypt ndio kala hasara mno kuliko maelezo na Nduguze Muslim wa Houthi wa Yemen wanadinda tu.. and jeuri nyingi kumbe anga lake juepe kama tui la nazi unaangusha chochote tu kinatua salama salimini
 
dogo hio ya warabu kumsaidia Israel kwani imeanza leo miaka warabu wanamsaidia Israel haswa huyo Jordan, kuhusu anga la Yemen kuwa wazi wewe hivi hujaona Israel anavyo vuliwa nguo anawachwaaa uchiiii wa mnyama

View: https://youtu.be/M6eK8WJDr00?si=ECOoQN_2FnvQ1Pqb

US anapoteza mabillion ya pesa kuionyesha Israel hakuna kama yeye wana missiles za kila aina lakini vitu vinapita kiulaini kabisa.

Israel siku hizi anaitwa VITU LAINI πŸ˜„
 
Wanaukumbi.

⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐀𝐒𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️

𝐘𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐰𝐚𝐫𝐧𝐬 𝐈𝐭𝐚π₯𝐲 𝐟𝐨𝐫 𝐭𝐑𝐬𝐞 πžβ€¦

Yemen imeionya Italia kuwa itashambulia kambi ya Italia huko Djibouti ikiwa itaunga mkono operesheni za Israel.

Ndege za Italia zilisaidia kujaza mafuta ndege za Israel kushambulia Yemen...

View: https://x.com/iranspec/status/1816471284387312063?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

May our beautiful beloved Imam kipenzi chetu cha dhati atuletee amani.

Karbala na Najaf LAZIMA tukahiji.

Shia FOREVER
 
Kuna vitu vinachekesha sana Wallah...🀣🀣🀣
 
Hao magaidi shida sana. Muda unakuja watakuja kuponza akina mama na watoto wa Yemen kwa sababu watatafuta hifadhi kwao.
Tulia ulambe dawa
 
Attachments

  • IMG_20240720_235244.jpg
    IMG_20240720_235244.jpg
    67.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom