Kuna bwege hapa alituambia F35 inaweza kutoka Israel kwenda nakurudi bila kuwarefuel nilimjibu kuwa kwa namna navyo zifahamu ndege za kivita haiwezekani mpaa ziwe refuel.Wanaukumbi.
β οΈ ππ«πππ€π’π§π πππ°π¬ β οΈ
πππ¦ππ§ π°ππ«π§π¬ ππππ₯π² ππ¨π« ππ‘π¬π πβ¦
Yemen imeionya Italia kuwa itashambulia kambi ya Italia huko Djibouti ikiwa itaunga mkono operesheni za Israel.
Ndege za Italia zilisaidia kujaza mafuta ndege za Israel kushambulia Yemen...
View: https://x.com/iranspec/status/1816471284387312063?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Its Good kusema Israel hajashambulia paza basi sauti ili waarabu waanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe... some people will support you for this Taqiyya hahahaKuna bwege hapa alituambia F35 inaweza kutoka Israel kwenda nakurudi bila kuwarefuel nilimjibu kuwa kwa namna navyo zifahamu ndege za kivita haiwezekani mpaa ziwe refuel.
Akajidai Israel ana technology π
Mimi na ujakika kila siku zikienda Yemen watafatilia footprint za hizo ndege lazima wameshiriki nchi za kiarabu kuidhuru Yemen kama si Saud Arabia au Egypt pamoja na Jordan, itakuwa ajabu kubwa sana.
Israel anakuzwa tu hilo dola la kifake halijawahi ingia vita bila kusaidiwa.
Huwenda kataifa ka Yemen ni kataifa ka wapumbavu tupuYemen bwana ajui amshike nani mnyonge wake.
Kuna siku utasikia yemen kaionya rwanda
dogo hio ya warabu kumsaidia Israel kwani imeanza leo miaka warabu wanamsaidia Israel haswa huyo Jordan, kuhusu anga la Yemen kuwa wazi wewe hivi hujaona Israel anavyo vuliwa nguo anawachwaaa uchiiii wa mnyamaIts Good kusema Israel hajashambulia paza basi sauti ili waarabu waanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe... some people will support you for this Taqiyya hahaha
Usumbufu wa Houth wa Yemen hausumbui sana kivile Israel.. Egypt ndio kala hasara mno kuliko maelezo na Nduguze Muslim wa Houthi wa Yemen wanadinda tu.. and jeuri nyingi kumbe anga lake juepe kama tui la nazi unaangusha chochote tu kinatua salama salimini
May our beautiful beloved Imam kipenzi chetu cha dhati atuletee amani.Wanaukumbi.
β οΈ ππ«πππ€π’π§π πππ°π¬ β οΈ
πππ¦ππ§ π°ππ«π§π¬ ππππ₯π² ππ¨π« ππ‘π¬π πβ¦
Yemen imeionya Italia kuwa itashambulia kambi ya Italia huko Djibouti ikiwa itaunga mkono operesheni za Israel.
Ndege za Italia zilisaidia kujaza mafuta ndege za Israel kushambulia Yemen...
View: https://x.com/iranspec/status/1816471284387312063?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Tulia ulambe dawaHao magaidi shida sana. Muda unakuja watakuja kuponza akina mama na watoto wa Yemen kwa sababu watatafuta hifadhi kwao.
Yemen watoto tu Ndio sio mateja, wakifika miaka ya Kula wanaanza Kula mirungi Hadi mwisho wa Maisha yaoHuwenda kataifa ka Yemen ni kataifa ka wapumbavu tupu