Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Hawa jamaa kiboko US kaamua awatafute mashoga zake wote waje wamsaidie
 
Umeacha kutoa hoja, unaleta chuki tu.

Unatoa vipi nuclear option wakati US anayo?
 
Mapato ya bandari ya bahari ya Eilat yameripotiwa kupungua kwa 80% kutokana na Wahouthi kufunga Bahari ya Shamu wakipinga vikwazo vya kinyama vya Israel dhidi ya Gaza.
Yemen wananyoosha watu huku hawakutegea kama yatatokea haya wao walikiwa wanajadili Gaza.
 

Attachments

  • IMG_8437.jpeg
    108.9 KB · Views: 2
I just hope this continues forever, boycott should last forever.
 
Everyone who loves humanity stands with Palestine
 
Gazeti la kila siku la Marekani The Washington Post:

Ushahidi uliotolewa na serikali ya Israel hauthibitishi kwamba Hamas walitumia kiwanja cha Shifa kama kituo cha amri.

Hakuna majengo matano ya Hospitali ya Al Shifa yaliyounganishwa kwenye mtandao wa handaki.

Hakuna ushahidi kwamba vichuguu vinaweza kufikiwa kutoka vyumba vya Hospitali ya Al Shifa
 
Yemen ni miongoni mwa nchi masikini wa kutupwa duniani kama somalia, burundi, Iraq na central africa. Sasa sijui itapigania rungu au fimbo?
 
Yemen ni miongoni mwa nchi masikini wa kutupwa duniani kama somalia, burundi, Iraq na central africa. Sasa sijui itapigania rungu au fimbo?
Hayo maneno kawambie Israel au Marekani kama hawajakupiga shaba.

Masikini Tanzania hawa ndiyo wasomi wetu hawajui dunia inavyoenda hafahamu chochote kuhusu Yemen.

Daaaah
 
Hiyo Israel iliyo jaa kiburi na inayo kuzwa na warokole humu ina uwezo wa kusimama peke yake bila msaada wa wamagharibi?
Logical non sequitur fallacy.

Sijaitaja Israel popote.
 
sasa ilikuwepo palestina au ilikuwepo ottoman? mbona hueleweki? lini kulishawahi kwuepo taifa linaloitwa palestina, ndio swali.
Hivi we unajielewa???
Umeishia la ngapi??
Kuliwahi kuwa na Palestina ambayo ilikuwa chin ya mamlaka ya Ottoman empire na Ottoman empire ilipovunjika Palestine ikatawaliwa na Uingereza.
KASOME MAKOLONI YA MUINGEREZA MOJA WAPO NI PALESTINA.
NIKUULIZE WEWE UNA HISTORIA INAYOELEWEKA YA ISRAEL?!
USINILETEE HISTORY ZA BIBLIA.
 
Sijabadili mjadala ila wewe ndio unanihamisha.
Maana umetoa sababu za kisiasa nimezifafanua.

Yemeni tumeipita kiuchumi kwasababu imekua katika vita zaidi ya miaka kumi.
Unategemea wao watazalishaje???
Ila asahivi ina amani basi tarajia kuona Yemen ikikua kwa Kasi.

Unapozungumzia vita ni mbinu sio bajeti kubwa ya jeshi au vifaa peke yake.
India Ina bajeti kubwa ya ulinzi ila inazidiwa na Pakistani kivita.
Katika border clash sita walizooigana baina ya India na Pakistani Kashmir vita 5 Pakistani ameshinda ni vita Moja tu India aloweza kushinda.
Iran kipindi inapigana na Iraq 1980s ikiwa Ina jeshi la mapinduzi ambalo ndio kwanza limetoka kufanya mapinduzi 1979 walipigana na Iraq ambayo ndio ilikua na jeshi Pana kipindi kile wakisaidiwa na USA na bado hawakutoboa wakaomba mazungumzo vita iishe 1988.

Hizbollah ni kundi dogo tu linalofadhiliwa na Iran ila 2006 lilipigana na IDF ambayo inasifika kuwa most sophisticated military ukanda wa Middle east na IDF wakapigwa wakavurutwa Toka bint jubeir kuja mpaka Shebah farms.

1959 China ambayo ilikua bado nchi maskini iliisaidia North Korea dhidi ya South Korea ilokua ikisaidiwa na USA kijeshi na kisilaha na wakawatwanga pale jangsari mpka kuwaburuta eneo ambalo sasa linajulikana km demilitarized zone.

UKITAKA MIFANO ZAIDI NAKUPA.
VITA SIO BAJETI KUBWA TU ILA PIA NI MBINU.
 
Ni. Kweli kiongozi pia na morali na ndio maana licha ya isrelei kubomoa kila miundo minutes pale gaza lakin wanakaa kidogo wanaona market yakiruka kwenye anga lao kama mzimu vile
 
Unalinganusha Yemen na Marekani. Lazima nichoke tu.
 
BREAKING:

⚡ Jeshi la Wanamaji la Marekani halina meli za kivita za kutosha kuanzisha Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis

Haya ni kwa mujibu wa mwandishi wa habari za baharini John Konrad. Alisema kuwa Marekani imeunda meli 24 za kijeshi zitakazotumika kwa mapigano katika maeneo ya pwani, lakini Marekani imekataa kuzipeleka.

Marekani imechanganyikiwa na haijui jinsi ya kuwakomesha Wahouthi. Ufaransa tayari imejiondoa katika kundi ambalo lilipaswa kulinda meli za Israel dhidi ya Houthis.

Houthis wanaendelea kudumisha kizuizi. Ikiwa Marekani itathubutu kuwashambulia Houthis, wanaweza kulipiza kisasi mara moja kwa sababu wana torpedoes, drones, makombora.

Ghafla vita vitapamba moto na Bahari ya Shamu itafungwa kabisa kwa meli zote. Itakuwa pigo kubwa kwa uchumi wa Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…