chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
Hatimaye kiswahili chaitikisa Nigeria tena,sasa mwanadada mrembo Yem Alade kuachia ngoma mpya aliyoimba kwa lugha ambayo hatupendi kuitumia tukitana na binadam mwenye ngozi nyeupi a.k.a mzungu,kwenye mashairi ya wimbo.Mwanadada huyo amesema kuwa Saut Soul ndie aliemfundisha kiswahili.
CHANZO: BONGO5
Sauti Sol amemfundisha kiswahili, au amemuandikia nyimbo? Just curious.
Kuna mnaigeria mwingine anaitwa Merit ana wimbo wake unaitwa nakupenda, inaonekana wanaija washaanza kukikubali kiswahili!