Renatus Edward
Member
- Aug 2, 2011
- 50
- 55
Wew si mmoja wanaosema kama sauti ndo kujua kuimba Wema sepetu angechukuliwa WCB?Tiwa Savage ana sauti flani hivi inayopenya masikioni mwako kama risasi inavyopenya kwenye kioo
akipanda utatamani asishuke sauti yake inakua kali kama Jordin Sparks
ila hana kismati kama cha Yemi alade
Naona unalinganisha wanaume na wanawake hongeraWew si mmoja wanaosema kama sauti ndo kujua kuimba Wema sepetu angechukuliwa WCB?
Double standards
Kwani huku bongo kuna mtu anasauti nzuri kama ya Tiwa? au double standards kwa huyo jamaa imetokeaje. (Sorry kwa kudandia)Wew si mmoja wanaosema kama sauti ndo kujua kuimba Wema sepetu angechukuliwa WCB?
Double standards