SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,842
WanaJamvi Salaam
Mara nyingi kwenye mahusiano/ndoa kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu unaelezwa kuwa ni kipimo cha kupima kama mwenzio anakupenda ama la. Japo wengine wanadai wivu ni kutojiamini katika mapenzi ama mahusiano/ndoa. Vyovyote unavyoweza tafsiri basi itoshe kusema wivu upo kwenye mapenzi na wengine husema mapenzi bila wivu ni sawa na shule bila mitihani.
Ninachotaka kukiwasilisha hapa ni ile hali ya kuwa 'watched out' kwenye mapenzi. Ninaweza nisimaanishe wivu moja kwa moja but idea yangu ni kutaka kufahamu mazingira ambayo ni 'vulnerable to cheating' na jinsi ya kuyatambua ili kama ukiyaona kwa mwenzio basi uchukue tahadhari before madhara hayajakuwa makubwa.
Mfano wengine husema housegirls ni hatari kwa waume zao alikadhalika madereva kwa wake zao. Wengine huenda mbali zaidi na kusema hata mabosi kazini ni hatari kwa wake/waume zao. Lakini kuna wanaodai hata walimu na ma'professor' ni hatari kwa mahusiano yao. Hawa niliowataja ni 'personalities' tu..lakini je ni kwa namna gani unaweza kusema mfano kwamba huyu hg keshaanza kuwa 'zingira hatarishi'..au huyu boss keshakuwa zingira hatarishi..n.k. In what circumstances should a person be watched out that her/his lover is about to be swept away with these pre-cheating signals??
Kiujumla inaweza ikawa vigumu sana kujua ni kwa kiwango gani mazingira hatarishi yanaathiri mahusiano yenu. Pengine labda ni kwa sababu ni hatua za mwanzo za kuelekea kwenye full udanganyifu. Lakini nilichokuwa nakiomba hapa wanajamvi ni ku'share' ideas jinsi ya kuyatambua mazingira hatarishi ya mapenzi na jinsi ya kuyaepuka. Lakini pia ni kwa namna gani unaweza kuona kwamba my lover s/he is about to be trapped in the so called mazingira hatarishi..Naombeni tujadili kutokana na uzoefu wenu kwenye hii 'industry'