Uchaguzi 2020 Yeremia K Maganja Mgombea Urais kwa NCCR Mageuzi kuchukua fomu leo 11.08.2020

Uchaguzi 2020 Yeremia K Maganja Mgombea Urais kwa NCCR Mageuzi kuchukua fomu leo 11.08.2020

kibarango

Senior Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
146
Reaction score
309
Ndugu Watanzania hasa wa Dodoma Mjini.

Chama kinachorudi upya kwa kasi NCCR Mageuzi, mgombea wake wa Urais wa JMT Bw Yeremia Kulwa Maganja atachukua fomu leo tarehe 11.08.2020.

Bwa. Maganja akiongozana na mgombea mweza Bwa. Ambari, viongozi waandamizi na watendaji wa makao makuu ya NCCR mageuzi watachukua fomu hiyo majira ya saa 5 asubuhi katika jengo la uchaguzi house.

Kwa wale Watanzania wapenda Maendeleo na Utu mnaweza kufuatilia tukio hili kwenye mitandao ya chama cha NCCR MAGEUZI

ASANTE.
IMG-20200810-WA0035.jpeg
IMG-20200809-WA0092.jpeg
 
Sawa. Ila vip kuhusu ushirikiano.na vyama makini kwa ajili ya kuikomboa mama Tanzania
 
Weka hizo social media account nifuatilia. Maana kwa heshima ya Marehemu Baba yangu. Nitachagua NCCR Mageuzi. Mzee alikua mnazi wa hiki chama.

Pia leteni CV ya huyu Yeremia Kulwa Mganja
 
Siku ya Mkutano Mkuu wa NCCR Mageuzi trh 07.08.2020. Chama kilitamka kiko tayari kwa ushirikiano na vyama vingine vya upinzani.
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia kwa nyakati tofauti.

CUF.
ACT
Waliwahi kuitwa CCM B. Leo ACT anaitwa mfia nchi.
Kwenye CUF mpinzani alikuwa Maalim Seif. Hiyo ni toka enzi za Mapalala. Lipumba huwa siyo mpinzani. ACT inaitwa chama cha upinzani sababu ya team ya Maalim Seif. Kuhusu wengine ndani ya ACT , i am not sure.
 
Huyu naye bora angeacha tu maana hana sifa ya kuwa Rais!
 
Kuna watu hua wasindikizaji tu, em chukulia mfano tuseme jamaa kama huyu tumpe kura zote leo hii ashinde urais, kesho yake si ataachia ngazi aseme nampa jiwe huu urais mi umenishinda, au atakimbiilia kugawia ndugu zake wote vyeo kama yule tako wa zambia alichofanya. Watu wawe serious sio kugombania tu
 
Back
Top Bottom