YEREVAN: Armenia yajiondoa kwenye Muungano wa Kiulinzi wa CSTO unaoongozwa na Urusi.

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
1,149
Reaction score
3,963
Waziri mkuu wa Armenia, Nikol Pashnyan ametangaza kuiondoa nchi yake kwenye Muungano wa Kiulinzi unaoongozwa na Urusi wa CSTO.
Hayo yamejiri baada ya nchi ya Azerbaijan kulichukua kijeshi jimbo la NAGRO KARABHAL ambalo linagombaniwa na nchi hizo mbili.
Armenia waliituhumu Urusi kushindwa kuilinda nchi hiyo licha ya kuwa mwanachama wa Muungano huo. Waziri Mkuu huyo alilituhumu jeshi la Urusi kuondoa wanajeshi walinzi wa Amani wa Urusi waliokuwa kwenye jimbo hilo.

Pashinyan announced Armenia's withdrawal from the military bloc with Russia

Armenia will leave the Collective Security Treaty Organization (CSTO) when it sees fit, said Armenian Prime Minister Nikol Pashinyan. But he did not indicate a time frame. “Let’s go out - are you scaring us with this? We are doing well, we will decide for ourselves when we leave,” said the Prime Minister of Armenia during government hour in parliament, when the topic of the CSTO came up.

In February, Pashinyan announced the freeze of the country’s membership in the CSTO. In early May, the Armenian authorities announced that they would not participate in financing the CSTO.

Yesterday, the United States and Armenia announced a strategic partnership. Relations between Armenia and the United States will be elevated to the level of a strategic partnership, the government statement said.

The United States offered Armenia to expand cooperation in the military sphere, follows from a statement by the American Under Secretary of State for European and Eurasian Affairs James O'Brien. “Our first joint ( military - TMT) exercises took place last year. We expect more,” the diplomat said at a meeting of the strategic dialogue between the two countries.

In early June, the Ambassador of Armenia to Ukraine Vladimir Karapetyan and the head of the administration of the Yerevan Nor-Nork district Tigran Ter-Margaryan visited the Ukrainian Bucha, where they honored the memory of the city’s residents, condemned Russian aggression and transferred assistance from Armenia to the Ukrainian side.
 
Urusi chini ya dikteta Putin sio ya kuaminika kabisa
We ndo akili zako si za kuaminika, kwasababu hao wote ni wanachama wa CSTO, Kwa urusi ilikuwa ni ngumu kuegemea upande wowote. Ni hivyo urusi kutoingilia kati ulikuwa ndo njia sahihi. Kama Armenia alitaka urusi asimane upande wake basi Azerbaijan naye angejitoa tena Kwa hoja madhubuti kuwa urusi na Armenia wamemwonea. Bora Sasa anavyojitoa wakati urusi akiwa neutral na hii inampa urusi credits za kuwa mushirika mwaminifu mwenye kulenga haki na usawa.
 
alipokubali kuweka jeshi hakujuwa hilo eneo lina mgogoro?
 
We ndo akili zako si za kuaminika, kwasababu hao wote ni wanachama wa CSTO, Kwa urusi ilikuwa ni ngumu kuegemea upande wowote. Ni hivyo urusi kutoingilia kati ulikuwa ndo njia sahihi. Kama Armenia alitaka urusi asimane upande wake basi Azerbaijan naye angejitoa tena Kwa hoja madhubuti kuwa urusi na Armenia wamemwonea. Bora Sasa anavyojitoa wakati urusi akiwa neutral na hii inampa urusi credits za kuwa mushirika mwaminifu mwenye kulenga haki na usawa.
Muongo!Azerbaijan haipo CSTO soma tena.hoja yako ni batili!
 
Urusi haina uwezo wa kulinda nchi yoyote, nashindwa mbona makobaz huishobokea..... brazaj
Imeshindwa kufumua kainchi jirani hapo.
 
Hawa Armenia wana chezea kichapo lakini hawakomi
 
Muongo!Azerbaijan haipo CSTO soma tena.hoja yako ni batili!
Azerbaijan haipo CSTO but ndo mshirika mwenye historia wa Urusi maana alikuwa sehemu ya USSR na pia Armenia tangu mwaka 1994 ni mshirika wa Marekani jambo ambalo isingekuwa rahis kwa Urusi kuwa na mahaba naye kwa dhati ya moyo. Lakini pia kihistoria eneo linalogombaniwa ingawa inakaliwa na jamii za Warmenia wengi lakini ni ardhi halali ya Azebaijan. Ni sawa na kusema leo Kenya iseme Longido, Ngorongoro, Monduli na Simanjiro ni mali ya Kenya kwa vile inakaliwa na Wamaasai ambao ni kabila kubwa Kenya.
 
We ndo akili zako si za kuaminika, kwasababu hao wote ni wanachama wa CSTO, Kwa urusi ilikuwa ni ngumu kuegemea upande wowote. Ni hivyo urusi kutoingilia kati ulikuwa ndo njia sahihi. Kama Armenia alitaka urusi asimane upande wake basi Azerbaijan naye angejitoa tena Kwa hoja madhubuti kuwa urusi na Armenia wamemwonea. Bora Sasa anavyojitoa wakati urusi akiwa neutral na hii inampa urusi credits za kuwa mushirika mwaminifu mwenye kulenga haki na usawa.
Wewe ndio huelewi,
Hawa Armenia wana chezea kichapo lakini hawakomi
Eneo lenye mgogoro na Azerbaijan wameshaliachia lote hivyo vita imeisha. Urusi alituma jeshi ili kuzuia pande husika zisipigane, ila vita vilivyoanza, majeshi ya Urusi hayakufanya chochote. Armenia imechelewa ukiachana na Urusi, watafute mshirika wa kueleweka. USA na Ufaransa wameanza kupishana hapo.
 
Azerbaijan haipo CSTO but ndo mshirika mwenye historia wa Urusi maana alikuwa sehemu ya USSR na pia Armenia tangu mwaka 1994 ni mshirika wa Marekani jambo ambalo isingekuwa rahis kwa Urusi kuwa na mahaba naye kwa dhati ya moyo. Lakini pia kihistoria eneo linalogombaniwa ingawa inakaliwa na jamii za Warmenia wengi lakini ni ardhi halali ya Azebaijan. Ni sawa na kusema leo Kenya iseme Longido, Ngorongoro, Monduli na Simanjiro ni mali ya Kenya kwa vile inakaliwa na Wamaasai ambao ni kabila kubwa Kenya.
Sio kwa ubaya mkuu, ila bila Al assad ulikuwa ushatupiga kamba 😃
 
We ndo akili zako si za kuaminika, kwasababu hao wote ni wanachama wa CSTO, Kwa urusi ilikuwa ni ngumu kuegemea upande wowote. Ni hivyo urusi kutoingilia kati ulikuwa ndo njia sahihi. Kama Armenia alitaka urusi asimane upande wake basi Azerbaijan naye angejitoa tena Kwa hoja madhubuti kuwa urusi na Armenia wamemwonea. Bora Sasa anavyojitoa wakati urusi akiwa neutral na hii inampa urusi credits za kuwa mushirika mwaminifu mwenye kulenga haki na usawa.
Muongo!Azerbaijan haipo CSTO soma tena.hoja yako ni batili!
.... Urusi ni mfano wa rafiki msaliti
 
We ndo akili zako si za kuaminika, kwasababu hao wote ni wanachama wa CSTO, Kwa urusi ilikuwa ni ngumu kuegemea upande wowote. Ni hivyo urusi kutoingilia kati ulikuwa ndo njia sahihi. Kama Armenia alitaka urusi asimane upande wake basi Azerbaijan naye angejitoa tena Kwa hoja madhubuti kuwa urusi na Armenia wamemwonea. Bora Sasa anavyojitoa wakati urusi akiwa neutral na hii inampa urusi credits za kuwa mushirika mwaminifu mwenye kulenga haki na usawa.
Acha Kupotosh Umma badala yake tafuta taarifa. Azerbaijan sio mwanachama wa CSTO. Armenia ndio mwanachama wa CSTO, kwahiyo Urusi ilishindwa kumlinda Mshirika Armenia ambaye yupo CSTO dhidi ya Azerbaijan ambaye sio mwanachama.

Wanachama wa Collective Security Treaty Organization(CSTO) ni pamoja na:
1.Russia.
2.Armenia
3.Belarus
4.Kazakhstan
5.Kyrgyzstan
6.Tajikistan.
Azerbaijan sio mwanachama wa huo muungano unaoongozwa na Urusi lakini alimtwanga Armenia ambaye yupo kwenye mwamvuli wa kulindwa na Urusi. Ndio maana wameamua kujitoa baada ya kuona hakuna ulinzi wowote waliopata kutoka Urusi.
 
Tatizo ni kwamba hilo eneo linalogombaniwa lilikuwa eneo halali la Azerbaijan, Armenia wakalichukua kibabe. Azerbaijan hawakuwa na uwezo wa kupigana kipindi hicho na Armenia, wakaamua kuimarisha kwanza jeshi lao walipokuwa imara ndiyo wakaliahzisha sasa urusi kumziwia Azerbaijan hakuna mantiki hata kama Armenia ni mshirika wake
 
Waziri mkuu wa Armenia, Nikol Pashnyan ametangaza kuiondoa nchi yake kwenye Muungano wa Kiulinzi unaoongozwa na Urusi wa CSTO.
Hayo yamejiri baada ya nchi ya Azerbaijan kulichukua kijeshi jimbo la NAGRO KARABHAL ambalo linagombaniwa na nchi hizo mbili.
Armenia waliituhumu Urusi kushindwa kuilinda nchi hiyo licha ya kuwa mwanachama wa Muungano huo. Waziri Mkuu huyo alilituhumu jeshi la Urusi kuondoa wanajeshi walinzi wa Amani wa Urusi waliokuwa kwenye jimbo hilo.

Pashinyan announced Armenia's withdrawal from the military bloc with Russia

Armenia will leave the Collective Security Treaty Organization (CSTO) when it sees fit, said Armenian Prime Minister Nikol Pashinyan. But he did not indicate a time frame. “Let’s go out - are you scaring us with this? We are doing well, we will decide for ourselves when we leave,” said the Prime Minister of Armenia during government hour in parliament, when the topic of the CSTO came up.

In February, Pashinyan announced the freeze of the country’s membership in the CSTO. In early May, the Armenian authorities announced that they would not participate in financing the CSTO.

Yesterday, the United States and Armenia announced a strategic partnership. Relations between Armenia and the United States will be elevated to the level of a strategic partnership, the government statement said.

The United States offered Armenia to expand cooperation in the military sphere, follows from a statement by the American Under Secretary of State for European and Eurasian Affairs James O'Brien. “Our first joint ( military - TMT) exercises took place last year. We expect more,” the diplomat said at a meeting of the strategic dialogue between the two countries.

In early June, the Ambassador of Armenia to Ukraine Vladimir Karapetyan and the head of the administration of the Yerevan Nor-Nork district Tigran Ter-Margaryan visited the Ukrainian Bucha, where they honored the memory of the city’s residents, condemned Russian aggression and transferred assistance from Armenia to the Ukrainian side.
Sio wa kumlaumu Russia.
Alikutana na upinzani mkali,pale Nagorno-Karabakh Turkiye naye alipeleka jeshi kuiunga mkono Azerbaijan,Russia imepoteza mamia ya askari mpaka vita kuisha.
 
Back
Top Bottom