Yericko Nyerere amgaragaza Le Mutuz tuzo za Twita

SANGAPIPI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
206
Reaction score
301
Magwiji wa mitandao nchini Tanzani walishindanishwa katika mtandao wa twita katika kipengele cha anayeandika mambo yakuudhi zaidi Tanzania....

Mwana jf Yericko Nyerere ametangazwa leo mshindi akimwaga Le Baharia


 
Sawa na ile ya Rais Wa Twitter Tanzania alipewa nani vile ?.....
 
Yericko aliwahi kuanzisha tunzo za kiswahili Twitter......mshindi mpaka leo anadai laki mbili zake.
 
kayericko ni noma kwa kuandika mipasho..hivi ile lak 2 kalishamlipa yule mshindi?naulza tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…