Yericko Nyerere na Ntobi wataka Tundu Lissu aanze kutoa maagizo wao wako tayari hata kulinda Ofisi ili Press ya Katibu mkuu Mnyika ifanyike

Yericko Nyerere na Ntobi wataka Tundu Lissu aanze kutoa maagizo wao wako tayari hata kulinda Ofisi ili Press ya Katibu mkuu Mnyika ifanyike

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Mh Yeriko na Mh Ntobi wamesema walidhani Tundu Lisu atatoa Amri ya maandamano hadi Makao makuu kuhakikisha Press ya katibu mkuu Mh John Mnyika inafanyika

Ukurasani kwake X Mh Yeriko Nyerere amesema wanasubiri tamko la Chama. Ahsanteni
Screenshot 2025-01-28 103108.png
 
Hivi akitoa kesho atapungukiwa na nn au chama akiwezi kuwa na busara kama leo kuna mkutano mkubwa inafanyka nchn wao wasubr hata kesho n sku tutawasikiliza vzr
 
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Mh Yeriko na Mh Ntobi wamesema walidhani Tundu Lisu atatoa Amri ya maandamano hadi Makao makuu kuhakikisha Press ya katibu mkuu Mh John Mnyika inafanyika

Ukurasani kwake X Mh Yeriko Nyerere amesema wanasubiri tamko la Chama. Ahsanteni
Hata wiki haijapita umeshamsaliti Mbowe mkuu?
 
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Mh Yeriko na Mh Ntobi wamesema walidhani Tundu Lisu atatoa Amri ya maandamano hadi Makao makuu kuhakikisha Press ya katibu mkuu Mh John Mnyika inafanyika

Ukurasani kwake X Mh Yeriko Nyerere amesema wanasubiri tamko la Chama. Ahsanteni
Hii ni kawaida kwa watu walioamini katika mtu sio taasisi, au wale ambao wanaoamini uimara wa taasisi katika nguvu ya mtu mmoja.

Hata wakati hayati Mwl. Julius Nyerere (Baba wa Taifa) anaondoka baadhi ya watu waliamini nchi inaenda kufa, na kutoa kejeli nyingi.

Lakini, baada ya miezi michache hata Nyerere alipong'atuka CCM hakukuwa tena na mwenye mashaka. Alifungua nchi katika biashara.

Na kazi ilikolea zaidi baada ya Mwinyi kumteua Hayati Lyatonga Mrema kuwa Naibu Waziri Mkuu. Hapo ndipo ufisadi ulizungumzwa bayana.

Akina Yericko nao bado wana wenge la fikra, bila shaka kuna wakati wanahisi wako ndotoni. Ila baada ya muda wenge litaisha wataingia mchezoni.

Ova
 
Uchaguzi ushamalizika,sasa hivi CHADEMA ni ya wanachama wote,waliomuunga mkono Lisu na waliomuunga Mkono Mbowe,hiyo ndio maana ya Demokrasia.
Msitake CDM iwe CHAMA CHA DEMOGHASIA badala ya Demokrasia kwa kigezo cha kuwaadhibu waliompinga Lisu,Kama kumpinga Lisu ni kosa,basi Lisu na ye apingwe kwa Kumpinga Mbowe
 
Back
Top Bottom