johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata wiki haijapita umeshamsaliti Mbowe mkuu?Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Mh Yeriko na Mh Ntobi wamesema walidhani Tundu Lisu atatoa Amri ya maandamano hadi Makao makuu kuhakikisha Press ya katibu mkuu Mh John Mnyika inafanyika
Ukurasani kwake X Mh Yeriko Nyerere amesema wanasubiri tamko la Chama. Ahsanteni
Mpaka leo Yeriko haamini kama kashindwaMarehemu anapotetea roho yake inapotolewa lazma atapetape
Atakuwa informer wa mstaafuYeriko afukuzwe haraka kwenye chama
HaitamsaidiaAtakuwa informer wa mstaafu
Hii ni kawaida kwa watu walioamini katika mtu sio taasisi, au wale ambao wanaoamini uimara wa taasisi katika nguvu ya mtu mmoja.Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Mh Yeriko na Mh Ntobi wamesema walidhani Tundu Lisu atatoa Amri ya maandamano hadi Makao makuu kuhakikisha Press ya katibu mkuu Mh John Mnyika inafanyika
Ukurasani kwake X Mh Yeriko Nyerere amesema wanasubiri tamko la Chama. Ahsanteni
Siyo kinafiki bali anamkejeli Lissu.Huyo ameiweka kauli yake kinafiki🐼