Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Kweli jamaa ni zaidi ya hatari, mbowe aachie uenyekiti.
Uchawa upiImenishangaza uchawa kuukuta CHADEMA
Tatzo ni ndumi la kuwili,,,ananunulika na kurubuniwa kirahisiaaaah wamfananisha lisu na mbowe? hapana lisu ni mtu mwenye akili sana na msomi huwezi mfananisha na mbowe
Nitumie lugha ya mtaani na nyepesi ! Jamaa friji lake haligandishiKimantiki huwezi kuwa Mwanasheria Nguli na wakili Nguli alafu uwe mropokaji.
Ili uwe Mwanasheria Nguli lazima ujue kujenga hoja zenye mantiki. Na huwezi kuwa mjenga hoja mwenye mantiki alafu ukawa mropokaji.
Nafikiri unachanganya mafaili
Siasa BARIDI za Mbowe ndiyo Tijara ya Kizimkazi, huyu Mama anatakiwa apelekwe mchakachaka kama Rutto wa Kenya.3.TL sio mtu mbaya, shida yake ni confrontation politics, nani atamwamini mtu wa namna hii?
Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza ππ
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Kukemea uovu katika taasisi yako ndiyo hawa vibwengo wanaita kuropoka. Tanzania imekuwa ya hovyo kwa tabia hii ya kufumbia macho maovu na kuoneana haya.Kimantiki huwezi kuwa Mwanasheria Nguli na wakili Nguli alafu uwe mropokaji.
Ili uwe Mwanasheria Nguli lazima ujue kujenga hoja zenye mantiki. Na huwezi kuwa mjenga hoja mwenye mantiki alafu ukawa mropokaji.
Nafikiri unachanganya mafaili
Ili usimwite mropokaji lazima anyamaze. Na akinyamaza lazima aache siasa na akiacha siasa hana la kufanya zaidi ya kuitwa muoga, au amenunuliwa. Kuna msululu wa wanasheria machachari kama Marehemu Lamwai, kwa Sasa Mwabukusi nk wote walifika kikele kitaifa kwa kusema/kukosoa au kutokubaliana na mamlaka ambapo masikini sie hukunja mikia na kuufyata.Kimantiki huwezi kuwa Mwanasheria Nguli na wakili Nguli alafu uwe mropokaji.
Ili uwe Mwanasheria Nguli lazima ujue kujenga hoja zenye mantiki. Na huwezi kuwa mjenga hoja mwenye mantiki alafu ukawa mropokaji.
Nafikiri unachanganya mafaili
Ili usimwite mropokaji lazima anyamaze. Na akinyamaza lazima aache siasa na akiacha siasa hana la kufanya zaidi ya kuitwa muoga, au amenunuliwa. Kuna msululu wa wanasheria machachari kama Marehemu Lamwai, kwa Sasa Mwabukusi nk wote walifika kikele kitaifa kwa kusema/kukosoa au kutokubaliana na mamlaka ambapo masikini sie hukunja mikia na kuufyata.
Kukemea uovu katika taasisi yako ndiyo hawa vibwengo wanaita kuropoka. Tanzania imekuwa ya hovyo kwa tabia hii ya kufumbia macho maovu na kuoneana haya.
Mimi sipo team yoyote na si fan wa Lissu kabisa ,ila Nimegundua, CCM wengi ndio wenye hofu na Lissu kuwa Mwenyekiti.Washabiki na wafuasi wengi wa chadema wanamtaka lissu uwenyekiti chadema
Nyerere alitambulika miongoni mwa Watanganyika wengi alipojitokeza kusema. Dunia nzima kila mkosoaji alitungiwa majina, vikwazo na madhilaNa Kazi za kiharakati hutakiwa kufanywa Kwa weledi na wanasheria
Siasa BARIDI za Mbowe ndiyo Tijara ya Kizimkazi, huyu Mama anatakiwa apelekwe mchakachaka kama Rutto wa Kenya.
Ni Lissu ndio ataweza ziko Taasisi nyingi ziko tayari ku fund harakati za kuleta Mageuzi ikiwemo REFORMS kwenye Mfumo wa Uchaguzi na KATIBA MPYA.
Lissu anakubalika huko Ford Foundation kuliko Mbowe.
Lisu APEWE uenyekiti, kama ishu ni ufadhili wa chama, kwani mbowe hawezi kufadhili chama asipokuwa mwenyekiti.????Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real Madrid.
Huwezi Jua Msimamo na uwezo wa Mkeo au mumeo kukataa na tamaa yake zaidi ya wale wanaomtongoza Mumeo au Mkeo.
Yericko Nyerere na wenzake hawana uwezo wowote wa kuelezea uwezo wa Tundu Lisu.
Watu pekee wanaomjua Tundu Lisu uwezo wake namba Moja kabisa ni Hayati John pombe Magufuli na washauri wake wote.
Hao wanaweza wakakueleza Tundu Lisu ni mtu wa aina gani.
Kipindi cha awamu ya tano wakati nchi nzima ikiwa imetulizwa, ikatulia, uwanja ukiwa umeinama, wapinzani wakiwa hoi dhidi ya JPM na team yake.
Lisu ndiye aliyekuwa kinara yaani kama kwenye Filamu tungesema Mhusika Mkuu katika mapambano ya awamu ya tano walikuwa ni Lisu Vs JPM.
Na mechi ilichezwa dakika Mia na ishirini Mpaka Penati.
Lisu licha ya kushambuliwa vikali lakini hakujisalimisha,
Ilifika hatua nchi ikabaki na watu wawili tuu. Yaani JPM Vs Lisu.
Sisi wengine akiwemo Yericko na wenzake tulibaki mashimoni kama panya Buku, tukigeuka Keyboard warriors huku tukimwambia Maxence Melo asije akatuuza ππ
Usalama wa taifa, serikali ndio inajua uwezo wa Lisu kwa sababu wao ndio wanakuwa wanakinzana mara kwa mara. Lakini sio kina Yericko.
Kwa Sisi watunzi wa simulizi na filamu, Lisu tungempa uwezo wa ajabu na ikiwezekana kumnusuru kivyovyote ili mwisho Adui kuu akutane na Star.
Nishamaliza
Mwamba inabidi awadhibiti machawa wake, maana wanakibomoa chama bila kujua.Alipo TAL nami ndipo nilipo , kinachoendelea kwa wapambe wa MWAMBA kinakwenda kuizika CDM au MWAMBA mwenyewe asiwasikilize wapambe wake
Sheria za Tanzania zimewekwa na Wabunge wa chama kimoja CCM lazima Wajipendelee.Na kwa sheria za TZ hairuhusiwi kabisa,
Achana na marehemu JPM waende kwa Kikwete alieHAI.Kwema Wakuu!