johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima.
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.
Chanzo: Medani za Siasa Star tv
Kipindi kinaendelea.