johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Polepole ni mhimili binafsi wa chama.Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye
Naona huijui tena "CCM yako."Polepole ni mhimili binafsi wa chama.
Naona wanashindwa namna ya kumdhibiti, ati yeye na Kivukoni ngoma draw.
Pole kwa CCM yangu isiyo na dira ya kisiasa, hata wajinga wanakipopoa.
Kina Chingolo bure kabisa.
Acha chuki zakijinga ccm japokuwa ni ya hovyo lkn kuna mambo wanayaheshimu sana ktk chama chao, kama vile uhuru wa maoni na haki ya kila mwanachama, ingekuwa ni chadema mlivyo na roho za korosho za kutopenda kukosolewa basi mngeshammaliza zamn sana.Polepole inatakiwa afutwe uanachama kwakweli!
Kinachomtesa Polepole ni damu za watu walizoshiriki kumwaga.Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.
Source: Medani za Siasa Star tv
Kipindi kinaendelea.......
Uhuru wa maoni?? Utopolo mtupu.acha chuki zakijinga ccm japokuwa ni ya hovyo lkn kuna mambo wanayaheshimu sana ktk chama chao, kama vile uhuru wa maoni na haki ya kila mwanachama, ingekuwa ni chadema mlivyo na roho za korosho za kutopenda kukosolewa basi mngeshammaliza zamn sana.
na haya mambo tunayaona hata kwa watu wenu wale mahodari wenu watetez wa twitter, huwa hawapendi kukosolewa hata kama wamekosea, wao wanaamini wanajua kila kitu na neno la kiongoz wenu nikama amri ambapo hutakiw kuhoji wala kujajii lolote zaid ya kuunga mkono,
kwa akili hizo msitegemee kuja kuchukua madaraka ktk hii nchi, maana mtatumaliza hata sisi tusioshabikia vyama vya siasa zaid ya kuongea kweli...
ukweli unauma sana
Lumumba fc eti hana chama🤣🤣🤣acha chuki zakijinga ccm japokuwa ni ya hovyo lkn kuna mambo wanayaheshimu sana ktk chama chao, kama vile uhuru wa maoni na haki ya kila mwanachama, ingekuwa ni chadema mlivyo na roho za korosho za kutopenda kukosolewa basi mngeshammaliza zamn sana.
na haya mambo tunayaona hata kwa watu wenu wale mahodari wenu watetez wa twitter, huwa hawapendi kukosolewa hata kama wamekosea, wao wanaamini wanajua kila kitu na neno la kiongoz wenu nikama amri ambapo hutakiw kuhoji wala kujajii lolote zaid ya kuunga mkono,
kwa akili hizo msitegemee kuja kuchukua madaraka ktk hii nchi, maana mtatumaliza hata sisi tusioshabikia vyama vya siasa zaid ya kuongea kweli...
ukweli unauma sana
Maovu aliyotenda ikiwemo umwagaji damu nafsi inamtesa.Ndugu yetu Komredi Polepole amekuwa hovyo sana......
Polepole alikuwa master minder wa maovu mengi ya ccm. Wamemtumia na kumtupa kama ndomu sasa anahangaika.Yericko siasa wapi na wapi wewe tafuta hela ya kula tu na kuuza tuvipeperushi twako twa kusoma watoto wa darasa la pili, humuwezi hata robo komredi Polepole, hangaika na SACCOS yako ili mumutoe ndani gaidi wenu. Mnarukaruka tu utadhani chura aliyemwagiwa chumvi.
Kigogo alipoanza kuhojihoji wakamfuta uanachama!acha chuki zakijinga ccm japokuwa ni ya hovyo lkn kuna mambo wanayaheshimu sana ktk chama chao, kama vile uhuru wa maoni na haki ya kila mwanachama, ingekuwa ni chadema mlivyo na roho za korosho za kutopenda kukosolewa basi mngeshammaliza zamn sana.
na haya mambo tunayaona hata kwa watu wenu wale mahodari wenu watetez wa twitter, huwa hawapendi kukosolewa hata kama wamekosea, wao wanaamini wanajua kila kitu na neno la kiongoz wenu nikama amri ambapo hutakiw kuhoji wala kujajii lolote zaid ya kuunga mkono,
kwa akili hizo msitegemee kuja kuchukua madaraka ktk hii nchi, maana mtatumaliza hata sisi tusioshabikia vyama vya siasa zaid ya kuongea kweli...
ukweli unauma sana
18 - 35 kwa mujibu wa katiba ya UVCCMHivi Youth au Kijana ni umri upi?
Kwa uelewa wangu Kijana ni miaka 18-30 sasa akina Nape bado ni Youth?
Kuna watu wengi hasa wanasiasa utasikia ' sisi vijana'
Tusiogope kukua kiumri
Nape Polepole hahahh musiba hawa nao eti Youth
Nchi ina mizigo mingi kupindukia
Una ushahidi bwashee?Polepole alikuwa master minder wa maovu mengi ya ccm. Wamemtumia na kumtupa kama ndomu sasa anahangaika.