Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
HAKUNA WA KUMFUKUZA POLEPOLE CCM WAMEUFYATAYericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.
Source: Medani za Siasa Star tv
Kipindi kinaendelea.......
CCM wanaheshimu demokrasia!HAKUNA WA KUMFUKUZA POLEPOLE CCM WAMEUFYATA
Kwa hiyo Yeriko anaionea uchungu CCM kwa hicho anachosema Polepole! Kama kweli Polepole anakivua nguo chama chake basi Yeriko angekuwa anafurahi. Anaielekeza CCM kiongozi gani alikuwa mzuri kwao!Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.
Source: Medani za Siasa Star tv
Kipindi kinaendelea.......
Anavyoweweseka ndio ushahidi wenyeweUna ushahidi bwashee?
Rubbish, hilo genge la magaidi nalo ni chama au utopolo.Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.
Source: Medani za Siasa Star tv
Kipindi kinaendelea.......
Kwa kweli mie nina shangaa sana kuwa hajachukuliwa hatua mpaka leo.Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.
Source: Medani za Siasa Star tv
Kipindi kinaendelea.......
Naona sindano imekuingilia pabaya bwasheeYericko siasa wapi na wapi wewe tafuta hela ya kula tu na kuuza tuvipeperushi twako twa kusoma watoto wa darasa la pili, humuwezi hata robo komredi Polepole, hangaika na SACCOS yako ili mumutoe ndani gaidi wenu. Mnarukaruka tu utadhani chura aliyemwagiwa chumvi.
Wasingefunga shule yakeCCM wanaheshimu demokrasia!
Kazi indeleee chochea chochea kuni๐๐Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri nyingi kama siyo zote sasa kutoka hadharani na kuanzisha Chuo cha kukichamba chama chake ni uchizi na ujuha uliopitiliza.
Chanzo: Medani za Siasa Star tv
Kipindi kinaendelea.
Ni sawa kabisa maana CHADEMA mawazo ni atoe Lisu na Mbowe tu!
Wengine wakitoa maoni yao wanaambiwa sumu haionjwi kwa kuramba.
Muulize Zitto kilichomkuta.
Sisi kazi yetu ni moja tu ,kuwaputisha mchanga na kuwacholea mstari MaCCM mraruane.Chama la magaidi ni madikteta wanajulikana