Yes, I Did It!

hili halina mjadala.....hata majirani wanalifahamu

1."........... na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe mungu wa pekee na wa kweli na YESU KRISTO uliemtuma!"
2." ......... Ninapaa kwenda kwa baba yangu naye ni baba yenu, kwa mungu wangu nae ni mungu wenu"
3." Msujudie bwana Mungu wako umuabudu yeye peke yake "
4." Nilisemalo si langu ila la baba alienipeleka!"
 
Kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.
Wakati uliokubalika ndo sasa, maisha yako sasa ni uhakika na usalama zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…