YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

ExpertBroker

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2009
Posts
454
Reaction score
107

TANZANIAN REAL ESTATE INVESTORS! Apartments or Standalone?

Dear TANZANIAN REAL ESTATE INVESTORS (including parastatals/institutional investors),

YES we need homes but APARTMENTS needs are limited in Tanzania! The concept of vertical development (high raised apartment buildings) is associated with the scarcity of land to allow traditional horizontal development, hence the Highest and Best Use of Land (HABU) is capitalized by adopting the vertical construction approach!

BUT do we need apartments in Mbeya, Dodoma, Iringa, Kigoma, Kibaha and other areas in Tanzania where the urban land is to some extent plenty comparing to Dar es Salaam for example, to sell the same to local people, at a price which is as likely as the price of a standard house?

Let’s not just copy and paste! Research on demographic analysis to establish need analysis is inevitable before embarking on what type of real estate development to be put in a given area.
Most Tanzanians would love to live in a standalone homes, drive their cars through their private gates, enjoying their private garden and the like.

Housing is much more than physical structures; housing is/has become a subject of highly charged emotional content:

v A matter of strong feeling
v It is a symbol of status
v It is the symbol of achievement
v It is the symbol of social acceptance
v It seems to control, in large measure, the way in which the individual, the family perceives him/itself and is perceived by others.

BUT in areas where there is inelasticity supply of land like Dar es Salaam, apartments may sell, but again, not for owner occupied, most of them are for rental purposes!

Let’s not ignore culture when it comes to real estate investment.

By Andrew P. Kato, a Senior Property Consultant based in Dar es Salaam, andrew.kato@realestateprofessionalstz.net
 
Nimeipenda article yako, maana Tanzania tuna copy and paste hadi tunazingua.. Wewe Kigoma, Dodoma, Tabora na kwingineko kuna haja gani ya kujenga appartment maghorofa wakati Ardhi ipo kibao under utilized,,

Atleast Dar es salaam kuna prime area nyingi ambazo ardhi ipo limited na solution ni ma ghorofa tu,,,,
 
pia kuna issue ya need na uwezo wa ku-lent hizo apartment
 
Sasa issue ni nini kama mtu ana uwezo wa kujenga ghorofa na mipango miji wanaruhusu?????

Nilidhani suala la kuwekeza huambatana na self satisfaction..mtu kaaamua kujenga appartments Makambako na anapangisha huko shida inakuja wapi????

Suala la land scarcity kwa nchi yetu nadhani ni suala la kutengenezwa kuliko uhalisia kwani wakati viwanja vinagawiwa kwa madhumuni ya makazi matajiri hununua mpaka viwanja hamsini kwa minajili ya kuja kuviuza kwa bei kubwa baadae na hakuna anayejali kushughulikia adha hii,lakini kama kungekuwa na sheria ya kudhibiti huu ulanguzi wa ardhi hili suala lisingekuwa hivi leo hii tungeweza kuwa na shida lakini sio kwa kiasi hiki. Imagine mtu anamiliki ekari thelathini eneo kama Goba wakati kuna watu hawana hata robo ekari ya kujenga kibanda cha kujisitiri na familia yake!!!!

kwa sababu tulichagua kuwa na soko huria basi tuogelee tu mpaka tutapokumbwa na mafuriko!!!!!
 
= rent/lease.

Mi nadhani pamoja na yote yaliyosemwa,
apartments zote zinazojengwa mjini zitajaa punde si punde.
Ki-economics kupanga apartment ya laki 8 mjini posta ni heri maradufu kuliko kuwa na nyumba yako tegeta salasala..

Inaonesha hujasoma between the line katika thread yangu! You just jumped the gun!
 
Mwandishi wa article yuko out of touch na reality.

Huwezi kusema mikoani ardhi iko plenty!!! This is ridiculous...

Nyumba ni tofauti na kilimo, huwezi kujenga sehemu nyumba kwa sababu tu kuna ardhi. Thamani ya nyumba ina uhusiano wa moja kwa moja na mahali nyumba hiyo ilipo.

Mtu akiwa na kiwanja cha sq. m 1200 downtown na heka 30 kijijini ni faida zaidi kwa mfanyabiashara huyo kujenga appartments downtown kulilo kwenda kujenga nyumba kwenye eneo kubwa la kijijini.

Kusema kuwa maeneo kama Morogoro watu hawahitaji apartments pia sio ukweli. Kuna familia zinaishi miaka mingi kwenye maghorofa ya msajili wa majumba Morogoro, je famili hizi zisingependa apartments hizo ziwe mali yao?

Speaking of Kibaha, Kuna appartments ambazo sasa hivi zimeuzwa na NHC. Walionunua wako happy tu kuwa now they own the place they live.

Let the forces of demand and supply play their part...
 
"Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa," Mateo Qaresi (July 2013).
 
Jaman,hata huku sengerema kwe2(mission mtaa wa soweto) wameanza hamisha hamisha 2gve a space 4these investors.
Wataka jenga apartments..bt kwa mazngra ya sengerema,i dont thnk kam kuna ulazma kivile.
 
Jaman,hata huku sengerema kwe2(mission mtaa wa soweto) wameanza hamisha hamisha 2gve a space 4these investors.
Wataka jenga apartments..bt kwa mazngra ya sengerema,i dont thnk kam kuna ulazma kivile.

Acheni siasa kwenye biashara za watu. Wewe jenga yako unayoona inakufaa...
 

Penye kijani nashukuru kwa maono yako

Penye RED, nafikiri hukuilewa thread yangu! Supply Inelasticity ya Land inatazamwa kwa minajiri ya bei ya hiyo ardhi, matumizi, maendeleo husika, na property market nature kwa ujumla!
Bei za viwanja mikoani ni kati ya Shs. 5,000 mpaka 7,000 per sq metre! Dar es Salaam unaongelea kati ya shs10,000 mpaka 25,000 na bado ukitangaza leo kesho hakuna kiwanja! Hizo naongelea bei za manispaa kama wakipima viwanja vya kuuza! Siongelei private plots za mbezi beach, masaki, oysterbay, mikocheni na kwingineko! Najua utasema Dar es Salaam lazima bei iwe juu, YES, it is obvious na ndio maana ni kasema ni viable kwa apartments development comparing to mikoani! Ukirudia kusoma thread yangu metulia, najua utaelewa nilichokiandika!

Penye BLUE, labda naomba kudeclare interest kwamba mimi ni Real Estate Economist by profession na hivyo nilichokiandika sijakurupuka!

Penye RED, hoja yangu ilijikita kwa investors wa apartments for Sale na si just apartments za wafanyakazi wa mashirika au zile za toka msajiri enzi hizo, ilikuwa kibiashara zaidi, na ndio maana nikasema hata wanaonunua DSM wengi wanapangisha sio for owner occupied! Sasa nikuulize ZeMarcopolo, kwa mikoani utanunua apartments upangishe hiyo hela itarudi baada ya muda gani ukichukulia property market nature ilivyo, au ndo itakuwa ile ile kasumba kwamba alimradi mtu ana nyumba kama ambavyo wengi wetu tumezoea kuzika pesa kwa kutaka kumiliki nyumba na kubaki kwenye umasikini
 

Hapo ndipo unapokosea.

Unadhani mtu anaponunua nyumba na kuipangisha engo lake ni pesa irudi. unfortunately kwa nyumba hali halisi ni tofauti. Mtu anayetaka biashara ya kuona pesa yake inarudi hawezi kufanya biashara ya kupangisha nyumba na kukusanya kodi za mwezi.

Watu wanaofanya biashara ya nyumba za kupangisha wengi ni watu wanaotaka regular source of income ambayo haina head ache. At the same thamani ya nyumba mara nyingi hupanda na hivyo kumfanya mwenye nyumba kuwa na faida kwa kuimiliki tu ile nyumba.

Mara nyingi utasikia mzee anasema "hii nyumba italipia ada za watoto". The same applies to appartments, mtu akinunua appartmen kwa sh. mil 50 akaipangisha kwa sh. laki moja na nusu haimaanishi kwamba anataka baadae ile mil. 50 yake irudi noooooo. Anachotaka yeye ni kuihifadhi ile mil. 50 katika mazingira salama zaidi kuliko kuiweka bank in terms of cash with limited interest.

Ardhi siku hizi hata mikoani bei ghali. tembelea jukwaa la matangazo madogo utaona watu wanatangaza viwanja Dodoma na kwingineko kwa bei gani.

Ni forces za demand and supply, wacha investors wajenge halafu wanunuzi waonyeshe kama nyumba hizo zinahitajika au hazihitajiki. General knowledge ni kwamba katika mji wowote ule hakuna aina nyumba isiyohitajika.
 
= rent/lease.

Mi nadhani pamoja na yote yaliyosemwa,
apartments zote zinazojengwa mjini zitajaa punde si punde.
Ki-economics kupanga apartment ya laki 8 mjini posta ni heri maradufu kuliko kuwa na nyumba yako tegeta salasala..

Hoja yako ni nzuri mkuu, tatizo ni wangapi wenye uwezo wa kulipa laki 8 kwa mwezi?
 
= rent/lease.

Mi nadhani pamoja na yote yaliyosemwa,
apartments zote zinazojengwa mjini zitajaa punde si punde.
Ki-economics kupanga apartment ya laki 8 mjini posta ni heri maradufu kuliko kuwa na nyumba yako tegeta salasala..
Si kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…