Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Bado unasubiriwa utaje mkoa usiohitaji apartments.
Labda Simiyu hauhitaji:smile-big:
sijawahi ona uzi mtamu kama huu
Utamu wake nini?
umeanza...
Nimeanza nini tena queeny....si nimeuliza tu? Shea huo utamu bana
Mmmmh naona ligi ya tatu imeanza ila hii ya tatu ni "TAMU"...
cc Ritz
You fail to understand that I took your argument to an extreme level to show you how absurd your argument is.
And if you think that all investment does not involve a certain level of dreaming, you are further exposing your ignorance.
As far as calling myself a "Great Thinker", you are exposing your ignorance on my outlook, I morning-peed on that name a couple of times (and not in the least to mark territory), complete with elaborate Paul Johnson quotes.
Great thinker ni tusi kwangu, mtu akiniita "Great thinker" namwambia "mwenyewe"!
Grab a book, get an education, learn to spell at least before dishing out advise on investment.
You seem to not be aware that "deydration" is not a word.
Bado unasubiriwa utaje mkoa usiohitaji apartments.
Halafu Gaijin naye anasubiri list ya vitabu.
Naona umeanza kumpa multiple choice.
Dogo amefeli review process. Ameshindwa kudefend thesis...
Unaongelea apartment kwa ajili ya nini ZeMarcopolo, for owner occupied? For Rentals or for Sale! Ukinipa jibu kwanza ndio nitarudi! Bado una-prove kutoelewa mada.
Kwa imani yko ulisha-conclude kwamba hakuna kiatbu cha Mbongo cha Real Estate, hata nikikutajia list utaishia kuwakashifu watunzi wa hivyo vitabu, maana wewe tayari unaamini, only whites can do! Na kwa nini uulize nimetumia kitabu gani, kwani lazima nitumie kitabu, kwa nini usiamini kwamba na mimi ninaweza kuwa source? Kwako mtunzi wa professional book lazima atoke magharibi?
Kumbe uko ki-league zaidi, pole sana!
Go ahead of dreaming is you think dreaming is always to success! Some may dream to be gays, take care!
List kaiomba Gaijin. Mimi nilitaka kimoja tu. Huwezi kunyanyuka tu na kuwa source lazima ujifunze kwanza. Rudi posts za nyuma ujikumbushe sababu ya kukuuliza kitabu.
Apartments zote ziko kwa ajili ya watu kuishi. Hakuna apartment zinazojengwa kwa ajili ya kuhifadhi korosho.
Just nyumbulisha mkoa huu hazihitajiki apartment za sale, huu za kupangisha na huu za kuishi wamiliki (huyo mmiliki anayejenga apartments aishi sijui atakuwa mwarabu wa wapi).
Discussion nzuri, ila naona bei zenu wengi ziko chini sana. 50 mil haununui apartment mjini, na laki 8 kupanga mjini ni ngumu vile vile, bei ni balaa right now ila kwa kuangalia wanavyojenga kwa fujo nadhani hii bubble itapasuka muda si mrefu tutaanza kupata apartments kwa bei chee 😛layball:. Cheki Dar es Salaam apartments | apartments in Dar es Salaam & Tanzania > ZoomTanzania.com kupata idea ya bei za apartments dar mjini.
Unaona unavyojichangaya? You keep on proving your immaturity on understanding the subject matter! Kwani leo hii TANESCo wakisema wajenge apartments Namtumbo kwa ajili ya staff wake kuna tatizo? Je, hii ndio ilikuwa hoja yangu? Hoja umeamua kuiweka ki-league zaidi ndio maana you run put of the line, poor DUDE!
Of course hii ni ligi of ideas. Ningekuwa siko kiligi ningekuacha longtime uendelee kuamini ujinga wako, but the problem is ungewapotosha wasomaji wetu wa hili jukwaa. That's why I challenged your "thoughts" and you FAILED to defend yourself.