jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Nikaribishe wandugu, najisikia amani sana kuwa mmoja wenu
Nikaribishe wandugu, najisikia amani sana kuwa mmoja wenu
Ooh yeah, tupo pamoja
Tuendelee kushirikiana kama ilivyo jadi yetu humu ndani. Love you all
Jay milions kuna tetesi kuwa hayo mapesa huwa mnapeana....kuna ukweli wowote ktk hilo?
Pita ndani
karibu mpaka ndani
Karibu sana JF...
Karibu lkn kwa sasa ishia sebuleni kwa wiki mojatu