Yesterday morning at Abidjan port. They were waiting for two Toyota Corolla vehicles, bought online from Dubai

Hii picha ni muda sana mimi nimeiona unaposema jana unatunywesha chai
 

Yametokea jana bandari nyama Ivory Coast iitwayo Abidjan.


Hilo ni kinikia la dhahabu ambalo likichakatwa inaweza kupatikana dhahabu za kutosha kuzidi thamani ya hizo gari.

Or it is a new method to traffic narcotics, let them break open the stone to see what's inside.--- be careful with the Nigerians 🤣.
 
Nadhani amekurupuka usingizini sasa.
Kumbe ukichangia mada angalia jukwaa,..hahahah mambo ya chitchat unataka logic za Jamii Intelligence au wale GT.

Safi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…