Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Changamoto ni kwamba mambo ya imani hayafuati mathematical logic, wengi wanaoshuhudia huwa wanazungumzia personal experience na amani ya moyo tu wanayoipata, ambayo kwa mtu wa nje ni ngumu kuipima kwa akili ya kawaida. Ndio maana kwako unaona hai make sense."
Uko sahihi kabisa mkuu, concept ya logic ni kujua True au False. Na ukweli ni kwamba mambo ya miujiza yapo outside the scope of logic. Ni kweli au uongo?Lakini mkuu si unajua lengo la logic kutambua ukweli na uongo. Sasa kama yesu amakuponya si kuna either ikawa kweli au uongo.
I think haya mambo ni more illogical than logical.
Changamoto ni kwamba mambo ya imani hayafuati mathematical logic, wengi wanaoshuhudia huwa wanazungumzia personal experience na amani ya moyo tu wanayoipata, ambayo kwa mtu wa nje ni ngumu kuipima kwa akili ya kawaida. Ndio maana kwako unaona hai make sense."
Kazi kweli huku najionea mambo mageni!It's an illogical thing. No one has an answer if there is God or not we don't know. Either someone says yes or no both have no answers to this. We could all agree if there's verifiable evidence that it's real or not.
This thing is the same as Plato's Allegory of the cave. People like Charles Darwin they didn't reject that there might be God or not to but history shows that they tied themselves to agonism since we could not have answers to personal faith.
Seran
Kikubwa ni iman yako tu ukiamini unaweza kuhamisha milima kama iman yako ndogo huwezi kupata chochote
Kazi kweli huku najionea mambo mageni!View attachment 3647486
Huyu mtu anaingia deep kwa mazungumzo! Anachanganya sana!😁Dada hizi ni vitabu vya kiimani tu kama hivi vingine the only books that will reveal facts to you are science and math related books because they can prove how things are.
Alinigeuza mimi maji taka nikawa divai iliyo bora sanaNimekuwa nikisikia shuhuda nyingi redioni kuwa yesu amebadilisha maisha yangu, nilikuwa na madeni yote yamefutika. Mwingine alikuwa na magonjwa yaliyoshindikana lakini alipona.
Wadau, mbona kwangu haya mambo na hizi stori logically hazimake sense?
hommie njoo uone sasaHuyu mtu anaingia deep kwa mazungumzo! Anachanganya sana! View attachment 3647551
Ametenda maajabu, nami siwezi kueleza, siwezi kuelezaaaa siwezi kueleza ametenda maajabu nami siwezi kueleza ameteeenda maajabuNimekuwa nikisikia shuhuda nyingi redioni kuwa yesu amebadilisha maisha yangu, nilikuwa na madeni yote yamefutika. Mwingine alikuwa na magonjwa yaliyoshindikana lakini alipona.
Wadau, mbona kwangu haya mambo na hizi stori logically hazimake sense?