Kama nakuona vile mkemia mkuu.Nadhani issue hapa ni quality, anataka ya mbinguni coz itakuwa na quality ya Hali ya juu sana bila kuchakachua.
Mathayo 26:29
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Yesu anasema hataki pombe ya duniani anasubiri pombe ya peponi
Au Kuna mgalatia yoyote anayepinga kuwa uzao wa mizabibu sio pombe?