Yesu anaweza yote hivi uliimbwa na nani?

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
3,542
Reaction score
290
kuna huu wimbo yesu anaweza yoteee,
eh yesu anaweza yoteee

naupenda sana lakini cjui umeimbwa na mwimbaji gani wa injili hapa tanzania najua hapo nitapata majibu wakuu.
 
Somebody Catherine Kyambiki kama sikosei.. Jina la pili nina uhakika nalo lakini la kwanza nina mashaka. Hata mimi naupenda ndugu.
 
safi sana mkuu nilifikiri mm peke yangu hope tutapa mengi zaidi juu ya mwimbaji huyu natamani kupata historia yake ata picha yake wimbo ulinigusa sana
 
kuna huu wimbo yesu anaweza yoteee,
eh yesu anaweza yoteee

naupenda sana lakini cjui umeimbwa na mwimbaji gani wa injili hapa tanzania najua hapo nitapata majibu wakuu.

Sijui ndio huu unausema kaimba MARTHA MLATA
 
Somebody Catherine Kyambiki kama sikosei.. Jina la pili nina uhakika nalo lakini la kwanza nina mashaka. Hata mimi naupenda ndugu.

Hujakosea hata kidogo ndio yeye aliyeimba
 
Dr Phone tuko pamoja. Ni kweli Yesu anaweza wote na wimbo unagusa na upako kwa sana.
 
Ndio ule wa Kinyakyusa wa Catherine Kyambiki unaotafsiriwa =UBAGILE Mwana gwa Kyala?
 
yah!! its a nice song!!

safi sana angalau najisikia vzuri mana sijausikia tena huo wimbo najaribu kuutafuta nitakwenda wapo redio niwaombe kwakweli natafuta kwa wauza kanda awana kabisa
 
Ndio ule wa Kinyakyusa wa Catherine Kyambiki unaotafsiriwa =UBAGILE Mwana gwa Kyala?

eti eeh ebu zidikutupa dta ubagile mwana gwa kyala inamaanisha yesu anaweza yote? najifunza kinyakyusa
 
Dr Phone tuko pamoja. Ni kweli Yesu anaweza wote na wimbo unagusa na upako kwa sana.

kweli kabisa mkuu ninapokwama au nimekata tamaa najisemea yesu anaweza wote
 
Back
Top Bottom