Wewe ni zwazwa unamkataa binti..!Mpaka sasa utakuwa unajiuliza huyu anazungumzia nini, nazungumzia mahusiano ya kiroho baina yangu na kristo na mahusiano kimapenzi kati yangu na mwanadamu (mwanamke).
Kiimani mimi naamini katika ukristo(naamini), Yesu kristo alikufa kwaajili ya dhambi zetu dhambi hizo ni nyingi sana kiasi kwamba wenyewe tusingeweza kuzifidia hata kwa sadaka za malori ya wanyama.
Wizi,uongo,ibada za sanamu, na uzinzi, kwa leo nitaongelea uzinzi na unavyoletwa na kataa ndoa.
Katika 1 Wak 7:1 na kuendelea imeandikwa mwanaume akae katika hali ile ile yaani asioe, lakini kwa sababu ya tamaa na kuepuka uzinzi mwanaume awe na mwanamke wake mwenyewe.
Uzinzi ni mbaya sana, umekemewa mara nyingi nyingi, kwenye amri kumi, usizini. Kwenye 1 Wak 6 ikimbie zinaa maana dhambi zote ni nje ya mwili, sasa kwa muda mrefu...
Kuna binti amekuwa akinipenda sana amefikia hatua ya kulia sana kwa sababu nilimwambia siwezi kumuoa sina mpango wa kuoa, wakati huohuo nawaka tamaa nifanye ngono, nilikufa katika uzinzi wa roho wa team kataa ndoa...
Nilijua tu andiko lako linaelekea huku!, sasa umekuwa zwazwa la mwisho!..😂Natangaza nitaoa 2028 useja sio mzuri
MKUU HUYU KAKUBALI MASHARTI YOTE YA REFORMSNo reform no marriage!.
Sisi kama vijana wa #Kataandoa tumekuja na "No reform no marriage!". kwasababu mmekuwa mkitusema vibaya nakuona kama hatuna maadili,hivyo basi kama kuna mambo hayatawekwa sawa sawia basi hatutaingia kabisa kwenye mtego unaoitwa ndoa!. bila hivi vitu kufanyiwa marekebisho basi hakuna ndoa...www.jamiiforums.com
inatakiwa ikubali serikali sio yeye unalaghaiwa mchana kweupe!, sheria zenye nguvu ni za serikali sio hizo zakutamkiana midomoni!..MKUU HUYU KAKUBALI MASHARTI YOTE YA REFORMS
Shukrani nduguPasaka njema kwako pia
Kuhusu afya ya akili sikupingi nitaenda hospitali nitafanya mazoezi na meditation, ila kuwa na mwenzangu nitalizingatia pia najenga future yangu kwanza 2028 nikiwepo hai utapata kadi ya mwaliko.Wewe ni zwazwa unamkataa binti..!
Nani amekuambia kuna dhambi..?
nani amekuambia kuna moto..?
Heri ungesema unaogopa magonjwa!, hao unaowasoma kwenye Bible wengine walikuwa na wake mpaka mia saba!, yani kiasi kwamba akiwa anawapa dozi kila siku kwa mwaka atakuwa amegonga wanawake 365!, halafu bado wengine wanamsubiri yeye tu!.
Ndio maana nawaambia kila siku kile kitabu nicha stori za uongo na hamuelewi!.. Ndugu hata kabla hujamaliza stori yako ni hivi "HUJAFUFUKA wala HUJAFA!".
Wewe chakuangalia sahivi ni afya yako ya akili na mwili hivyo ndo vyamuhimu kwasasa!, tumia muda wako kutafuta pesa, tunza akiba za kesho, jenga familia.
Wafu na wafufukao hizo habari ni habari mfu!.
SITAKI KADI YAKO!Kuhusu afya ya akili sikupingi nitaenda hospitali nitafanya mazoezi na meditation, ila kuwa na mwenzangu nitalizingatia pia najenga future yangu kwanza 2028 nikiwepo hai utapata kadi ya mwaliko.
Nishawahi kusema kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake, mkuu humu tupo kuhave fun tu ila maisha yetu halisi tunayajua wenyewe ID zinaficha mengi, kwa sababu fulani fulani unajikuta unaandika ujingaujinga hahawee jamaaa umeanza kuwa kama mimi tuu..
Ujinga ujinga kibao
lazima nirudi hapa ni kama nyumbani, hata mwana mpotevu alichukua mgao wake kwa majivuno akasepa yalipomkuta majanga alirudi and guess what akapokelewa kwa bonge moja la partyinatakiwa ikubali serikali sio yeye unalaghaiwa mchana kweupe!, sheria zenye nguvu ni za serikali sio hizo zakutamkiana midomoni!..
Utakuja kurudi huku kwa spidi kali mno....