Yesu kristo kafufuka, rasmi na mimi nafufuka!

lazima nirudi hapa ni kama nyumbani, hata mwana mpotevu alichukua mgao wake kwa majivuno akasepa yalipomkuta majanga alirudi and guess what akapokelewa kwa bonge moja la party
wewe party yako itakuwa ni mitama!
 
Mh! mimi nitakuwa mvunjifu wa amani tu!
Hilo halina tatizo cha muhimu uhudhurie, nikikamata mic nasema "naomba kutambua uwepo wa boss wa maboss tajiri papaa mipesa mobimba Kenzy"
 
Hilo halina tatizo cha muhimu uhudhurie, nikikamata mic nasema "naomba kutambua uwepo wa boss wa maboss tajiri papaa mipesa mobimba Kenzy"
halafu anakuja mtu mithiri ya dr janabi...🀣
 
Kataa ndoa, ndoa ni Shimo la tewa lenye joka la mdimu ndani yake.
 
Kataa ndoa, ndoa ni Shimo la tewa lenye joka la mdimu ndani yake.
Ndege Sikupingi nachoamini kuoa ni maamuzi personal na kila mtu ataamua kwa wakati wake kwa sasa nimeamua kuwa kataa ndoa mpaka hapo nitakapoachia uanachama 2028
 
Kwa nini wakatoliki wana vitabu 72 huku madhehebu mengine yakiwa na vitabu 66 kibindoni.
Jibu kwanza hilo swali nipate kuelimika.
Setfree
 
Ndege Sikupingi nachoamini kuoa ni maamuzi personal na kila mtu ataamua kwa wakati wake kwa sasa nimeamua kuwa kataa ndoa mpaka hapo nitakapoachia uanachama 2028
Yes, hii ni kauli ya kijana anayeelekea kukomaa kiakili.
 
Nishawahi kusema kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake, mkuu humu tupo kuhave fun tu ila maisha yetu halisi tunayajua wenyewe ID zinaficha mengi, kwa sababu fulani fulani unajikuta unaandika ujingaujinga haha
Kila mtu ana muda wake mkuu hata mimi huwa nasemaga kuna jamaa mda mwingi huwa anakuja pm kunipa angalizo na nyuz zangu ila jibu langu kubwa ni kuwa mimi na maisha yangu ujui napitia nn huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yes, hii ni kauli ya kijana anayeelekea kukomaa kiakili.
Daima naamini ndoa ni ngumu, mtu asikudanganye kwamba ooh mkiwa wavumilivu, ooh ukioa bikra mara ooh mpende sana mkeo atatulia, changamoto zipo ni wewe kujua tu nitawezaje kuzikabili maana. Taa inayomulika vizuri utaijua kukiwa na giza sio kukiwa na mwanga, hata mke bora utamjua kwenye changamoto. Kukataa ndoa kupo hatukati ilimradi kuna vitu vinafanya tukatae ndoa, vitu hivyo lazima ujue kuvikabili ili uikubali ndoa.

Ndoa ni agano, kuna wakati najiuliza kwanini MUNGU hakuacha duniani tuwe wanaume tu kwanini akaumba wanawake akasema tuzae nao tuijaze dunia.
 
Kila mtu ana muda wake mkuu hata mimi huwa nasemaga kuna jamaa mda mwingi huwa anakuja pm kunipa angalizo na nyuz zangu ila jibu langu kubwa ni kuwa mimi na maisha yangu ujui napitia nn huku
Ni kweli kabisa siri ya maisha yako unaijua wewe mwenyewe, mtu asikupangie uoe au usioe, ila kila jambo na wakati wake kuna muda utakataa ndoa kwa sababu fulani, kuna muda utataka ndoa kwasababu fulani. Hakuna jambo linalotokea bila sababu.
 
Kila kitu kinatokea kwa sababu.
Uwezi sema mimi leo nisile pasaka et takua naungana na wakristo hapana mi nitakula kila kitu uwezi nipangia hata kidogo kwanza kila kitu kinatokea kwa sababu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…