secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kijana wangu sasa akili yako imekuwa kama ya mtu mzima mwenye busara tele.Daima naamini ndoa ni ngumu, mtu asikudanganye kwamba ooh mkiwa wavumilivu, ooh ukioa bikra mara ooh mpende sana mkeo atatulia, changamoto zipo ni wewe kujua tu nitawezaje kuzikabili maana. Taa inayomulika vizuri utaijua kukiwa na giza sio kukiwa na mwanga, hata mke bora utamjua kwenye changamoto. Kukataa ndoa kupo hatukati ilimradi kuna vitu vinafanya tukatae ndoa, vitu hivyo lazima ujue kuvikabili ili uikubali ndoa.
Ndoa ni agano, kuna wakati najiuliza kwanini MUNGU hakuacha duniani tuwe wanaume tu kwanini akaumba wanawake akasema tuzae nao tuijaze dunia.
Hahaha π swadakta sikupingi mkuu kila kitu kinatokea kwa sababu na ukumbuke tunaishi mara moja tu kwenye hii dunia tumia miaka yako 60,70,80, au 90 vizuriKila kitu kinatokea kwa sababu.
Uwezi sema mimi leo nisile pasaka et takua naungana na wakristo hapana mi nitakula kila kitu uwezi nipangia hata kidogo kwanza kila kitu kinatokea kwa sababu mkuu
Vijana wenzako wanazitumia isivyotakikana.Hahaha mkuu sote tuna akili tele imejaa mpaka pomoni tunatofautiana namna ya kuzitumia
Ndo hvo mkuu yaani hakuna mda wa kupoteza alllaaaaahHahaha π swadakta sikupingi mkuu kila kitu kinatokea kwa sababu na ukumbuke tunaishi mara moja tu kwenye hii dunia tumia miaka yako 60,70,80, au 90 vizuri
Sasa nauliza nashindwankuelewa sababu iliyomfanye atoe vile vitabu.sasa mkuu kwani alipochoma hio biblia moja, na biblia zingine nazo zilichanika?
Well said my Sonπ Wasichojua ni kuwa wana akili nyingi sana kama watazitumia vizuri watakuwa watu wa maana sana!
Kla siku ananitoroka kwa kuogopa maswali.Setfree atakuwa bize na ibada za Pasaka leo si unajua yeye ni mamchungaji
Mkuu usioe mwanamke anayezunguzia dini masaa 24.π π π nilimtongoza akaruka mita 100 akanishushia vifungu hatare
Utachapiwa na wachungaji wenzako.Vipi kama mimi ndio nikawa mchungaji mwenyewe ni NENO kuichapa NENO kuichapa NENO kuichapa
HAHAHA KWANZA PUNGUZA JAZBA MKUU mwanamke pekee naempenda kwa dhati ni mamaangu, wengine nawapenda kwa machale, kitu chapili kila jambo na wakati wake kwa sasa mimi ni kataa ndoa mpaka hapo nitakapooa 2028, cha tatu kuoa ni jambo personal napenda nianzishe kizazi changu niwe na watoto, watoto wa nje ya ndoa sidhani kama wana baraka sana, hivyo lazima nioeDogo acha ujinga pumbavu,,,Kwa karne na dunia ya leo kitu cha msingi kabisa ni kujizuia kumpenda binadamu anaitwa mwanamke.
Weka maslahi yako mezani mapema acha ujinga na delusions.Mwanamke akikuona au pale utakapoanza tu kumsemesha ashajua wewe unacho cha kumpa au huna.Huu ujinga unaitwa kupenda/ love ni stori za kusadikika.
Mwanaume usicheke na kima hakuna kiumbe mnafiki kama mwanamke.Mwanamke anaweza akawa anajijua yeye kawaka( GRIDI YA TAIFA) ila akavunga na akukupanulia mapaja ujichanganye mwenyewe.Siku ukianza kuumwaumwa ovyo anajifanya