Yesu kristo kafufuka, rasmi na mimi nafufuka!

Katika uzi fulani niliuliza kuna njia tofauti ya kupunguza hamu tofauti na ngono? Kimsingi naona haijakaa sawa ngono ni basic need, na inafaa zaidi kwa waliooana
 


Hakuna kitu kama baraka,zambi wala ujinga ujinga wowote kama huo ni imani tu na matango pori tumemezeshwa na wahuni.

Sio kila ukifanya ngono lazima usababidhe mimba,kaa kimasta wanawake wanatumia watoto kama kitega uchumi.Ukiwa hujajipata utasaga meno na madawati ya kijinsia.
 
duh mbona hatare
 
wee jamaaa umeanza kuwa kama mimi tuu..

Ujinga ujinga kibao
Tamka haya maneno "mimi nina ujinga ujinga sababu ya poor brain yangu hata nikashindwa kurekebisha PC nikakesha naomba msaada ambao nao sikuupata mimi ni bure! YAVUZ YAKUZ"
 
KATAA NDOA kama hazijafanyika reforms, zikifanyika na ukijipanga oa.
 
Tamka haya maneno "mimi nina ujinga ujinga sababu ya poor brain yangu hata nikashindwa kurekebisha PC nikakesha naomba msaada ambao nao sikuupata mimi ni bure! YAVUZ YAKUZ"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Daaah lile li computer la mchongo kubabek zake nishalitupilia mbali huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…