Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa imani yangu we ni wa Shetani, sasa unapozidi kuhoji imani isiyo yako nazidi kuuona ufalme wa shetani ulivyotawala ndani yako.


imani yako ya kanisa lipi , katoliki au pentekoste au jehovah witness ??? tuwekee wazi kama unajiamini
 
Naona imekuwa shield ya kukimbilia, halafu mwenyewe usikute unaita ni nondo.

Hujaona nilichokujibu hapo juu???? Au unajifanya huoni????
 
Hakuna mkristo anayebadili dini haijawai kutokea dunia hii.wale ni mapagan hawaabudu chochote na pia ukisikia wamebadili ylujue wametoka katika upagani wao.na wapo katika nchi ambazi zipo huru kwene suala la imani.ukitaka kujua ilo nchi za kiarabu serikali zake zisiambatane na imani ya kiislam af watu wawe huru kufanya watakacho ndio utajua idadi ya wapagani katika nchi za waislamu na dini zingine.lakin wao wanafanya kuficha ukweli kwa kusema sijui saud arabia waislam 100% kitu ambacho hakuna dunia hii
 
Ndoba noma dogo...hhhhhhh....
 
Roho mtakatifu, au roho wa mungu yupo pamoja nawe pia. Roho wa mungu yupo mahali pote.....
 
Swali: Kama Yesu si Mungu, siku ya mwisho atakapokabidhiwa kiti cha enzi cha ufalme na akawa na mamlaka yoote, huyu Mungu aliyepo leo atakwenda wapi? na yeye atageuka kuwa nani na atashika nafasi hipi?
 
imani yako ya kanisa lipi , katoliki au pentekoste au jehovah witness ??? tuwekee wazi kama unajiamini
We nae ni Muislam wa dheheb lip,Ahmadia,Ansar suni,shia, bohra,au thenashir TUWEKE WAZI TUJUE NA SS!!..
 
Swali: Kama Yesu si Mungu, siku ya mwisho atakapokabidhiwa kiti cha enzi cha ufalme na akawa na mamlaka yoote, huyu Mungu aliyepo leo atakwenda wapi? na yeye atageuka kuwa nani na atashika nafasi hipi?
Hata kurejea maandiko kwenye kitabu chao na kuyatafakari wameshindwa.

Unategemea nini??? Wanaamini siku ya mwisho atakuja kufufua watu na kuwaadhibu.
 
Duuuh aisee Mkuu big up sana MIMI NILIDHANI ALIKOMEA TU KULA MBULUKENGE(KENGE)KUMBE NA HAYA,ALIFANYA,ushahid,hadith(Mkweli Mwaninifu Juzuu ya Pili)!!!..
 
We nae ni Muislam wa dheheb lip,Ahmadia,Ansar suni,shia, bohra,au thenashir TUWEKE WAZI TUJUE NA SS!!..

mimi ni muislamu . Sunni

sasa tuambie wewe ni mkristo wa kanisa lipi , katoliki, pentekoste, .jw ......
 
Wewe nimegundua ndg zako WA KIJINI ndo wanaokusumbua!!..
 
Roho mtakatifu, au roho wa mungu yupo pamoja nawe pia. Roho wa mungu yupo mahali pote.....

Tuambie roho wa mungu ni nani na roho mtakatifu nani kwa mujibu wa kanisa lako
 
Wewe nimegundua ndg zako WA KIJINI ndo wanaokusumbua!!..


Wewe hao ndugu zako wa kimalaika na kibinadamu, wakusaidie wajibu haya maswali


TULIA NA ROHO MTAKATIFU WAKO , AKUSAIDIE UJIBU MASWALI KAMA ULIVYOULIZWA , USIBABAIKE


Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?


Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?


Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?


Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?


Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?



Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
We nae ni Muislam wa dheheb lip,Ahmadia,Ansar suni,shia, bohra,au thenashir TUWEKE WAZI TUJUE NA SS!!..

Hugo hats uisilamu dirisha dogo hayumo?! anawabishiaga na kuwakosoa allah na muhammad kila Siku ukimwambia allah ni mwanaume kama yeye na kumuwekea ushahidi allah alipo jifunua atabishia hadi mipovu inamwagika...niliwahi kumuuliza kama yeye ni muumini au kafir innsui, hadi Leo hajanijibu analeta sound chovu za kwa mtogole...hhhhhhhhh...
 
mimi ni muislamu . Sunni

sasa tuambie wewe ni mkristo wa kanisa lipi , katoliki, pentekoste, .jw ......
Kwahiyo ,SHIA,AMADIA,BOHRA,THENASHIR,KADYAN na mengineyo(Maana mna madhehebu 72),wao wamepotea SIO?kumbe na wew UNAKATA SURUALI ETI ILI UENDE PEPONI,KAZ KWEL KWEL!!..
 
Hata kurejea maandiko kwenye kitabu chao na kuyatafakari wameshindwa.

Unategemea nini??? Wanaamini siku ya mwisho atakuja kufufua watu na kuwaadhibu.


Wewe unategemea kitu gani hapa


John 12:47-49

47"As for the person who hears my words but does not keep them, I do not judge him. For I did not come to judge the world, but to save it.

48There is a judge for the one who rejects me and does not accept my words; that very word which I spoke will condemn him at the last day.

49For I did not speak of my own accord, but the Father who sent me commanded me what to say and how to say it.

compared with

John 5:22

Moreover, the Father judges no one, but has entrusted all judgment to the Son,

1 Peter 1:17

Since you call on a Father who judges each man's work impartially, live your lives as strangers here in reverent fear.


So as we see John 12 contradicts John 5 because John 12 says that Jesus does not judge certain people. However, John 5 says that all judgment is entrusted to Jesus. John 5 contradicts with 1 Peter because John 5 says that the Father judges no one but in 1 Peter we see that the Father does judge man's work.
 

Kwa hiyo allah na muhammad aliye kuagiza uviamini vitabu na mitume ya kabla yako, maagizo hayo ni pumba? wee wabishie afu unataka pepo yao ya kungonoka....huipati ng'oo hats ukitoa rushwa ya ghahawa au ile sunna ya mtume ule ubwabwa mchafu aka pilau...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…