ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yesu wa Tongaren ameachiwa kuendelea na shughuli zake baada ya waliomshitaki kudai yeye sio Yesu Original.
Waendesha mashtaka wakishindwa kuthibitisha ni vipi Yesu wa Tongaren sio Original hivyo Jaji akaamuru kuachiwa huru la sivyo waje na ushahidi wa Yesu Original Ili Yesu wa Tongoleani atiwe hatiani.
Wakenya bwana 😂😂😂😂
====
Hakimu wa mahakama ya Bungoma chini Kenya, Tom Orlando amemwachilia huru Yesu wa Tongareni kwa kuutaka upande wa mashtaka umlete Yesu halisi.
Hakimu: “Kama huyu siyo yesu halisi mleteni yule halisi athibitishe ni yeye na huyu wa bandia awekwe ndani kwa kuchezea jina la Yesu halisi”
Jambo TV