ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wanakwenda kumgawanaWaendesha mashtaka wakishindwa kuthibitisha ni vipi Yesu wa Tongoleani sio Original hivyo Jaji akaamuru kuachiwa huru la sivyo waje na ushahidi wa Yesu Original Ili Yesu wa Tongoleani atiwe hatiani.
Wakenya bwana
Wathubutu waoneWanakwenda kumgawana
Inahitaji mahakama zilizo huru na weledi pia . Wakenya mahakama zipo huru.[emoji23][emoji23][emoji23]
kesi rahisi kabisa wala haihitaji wakili
Huyo hawezi kuchomoka kwasababu yeye ni mjinai na ushahidi wa jinai yake ni hiyo miili iliyofukuliwa.Ina maana hata yule Pastor Mackenzie wa Kenya akiitaka Mahakama ithibitishe kua wale wate waliokufa kwa kufunga bila kula kama hawajakutana na Yesu mbinguni,nae atashinda kesi?
AahahaaaaaYesu wa Tongoleani ameachiwa kuendelea na shughuli zake baada ya waliomshitaki kudai yeye sio Yesu Original..
Waendesha mashtaka wakishindwa kuthibitisha ni vipi Yesu wa Tongoleani sio Original hivyo Jaji akaamuru kuachiwa huru la sivyo waje na ushahidi wa Yesu Original Ili Yesu wa Tongoleani atiwe hatiani.
Wakenya bwana ππππ
Mwakani lazima asulubishweYesu wa Tongoleani ameachiwa kuendelea na shughuli zake baada ya waliomshitaki kudai yeye sio Yesu Original..
Waendesha mashtaka wakishindwa kuthibitisha ni vipi Yesu wa Tongoleani sio Original hivyo Jaji akaamuru kuachiwa huru la sivyo waje na ushahidi wa Yesu Original Ili Yesu wa Tongoleani atiwe hatiani.
Wakenya bwana ππππ
Mkuu.issue ya kiimani ni ngumu kuithibitisha ili ionekane kwa macho,Huyo hawezi kuchomoka kwasababu yeye ni mjinai na ushahidi wa jinai yake ni hiyo miili iliyofukuliwa.
Mahakamani wanahitaji ushahidi halisi na unao onekana. So, as long as miili ya watu alio waua ilipatikana basi yeye ataeleza vizuri hao walio enda mbinguni walienda na miili ipi?
Note; kama makuburi yote wangekuta patupu(hakuna maiti) basi Mackenzie angeshinda asubuhi kwa hoja ya kuwa hao wote waliofariki wapo mbinguni tayari ndo maana kwenye makaburi yao hakuna miili yao.
Law is funny sometimes [emoji23][emoji23]Huyo hawezi kuchomoka kwasababu yeye ni mjinai na ushahidi wa jinai yake ni hiyo miili iliyofukuliwa.
Mahakamani wanahitaji ushahidi halisi na unao onekana. So, as long as miili ya watu alio waua ilipatikana basi yeye ataeleza vizuri hao walio enda mbinguni walienda na miili ipi?
Note; kama makuburi yote wangekuta patupu(hakuna maiti) basi Mackenzie angeshinda asubuhi kwa hoja ya kuwa hao wote waliofariki wapo mbinguni tayari ndo maana kwenye makaburi yao hakuna miili yao.
Yesu alisema atasukubishwa mara Moja tuu na atarudi ndio huyo SasaMwakani lazima asulubishwe
Atathibitisha roho iko wap kwny mwili wa mwanadamu then tutaangalia kwa maiti zote km hawana roho ama vip?!!Mkuu.issue ya kiimani ni ngumu kuithibitisha ili ionekane kwa macho,
vipi kama akisema kinachoenda mbinguni ni roho na sio miili?
Roho ni ile hali ya uhai,roho sio organ inayo onekana kwenye mwili wa Binadamu.Atathibitisha roho iko wap kwny mwili wa mwanadamu then tutaangalia kwa maiti zote km hawana roho ama vip?!!
NB:Mimi sio mwanasheria jmn just tryin' to make a point
Mimi sina roho na niko hai mzee ndo mana nabishaRoho ni ile hali ya uhai,roho sio organ inayo onekana kwenye mwili wa Binadamu.
Kwanini unakwepa swali kwa Mahakama kuthibitisha kua hao wafu hawajakutana na Yesu kama alivyo waambia kabla ya kufunga?
Kwani neno "Roho" wewe unalitafsirije kwa uelewa wako?Mimi sina roho na niko hai mzee ndo mana nabisha