Yeyote alie karibu Samaki spot Moro

mo town mpaka ijumaa man leo niko samakini kuna happen jamaa anaaanza na old scholl session hapa linagongwa return of the marck karibu mkuu

Dj ndo yule white eh??dogo ananikunaga balaa..kuna siku niligoma kbs kurudi nyumban hahahha...jaman pepo lamziki lishindwee
 
Ngoja nikujee...kula buree au kuna malipoo?

😅😅unaogopa kudaiwa..mie jaman nakulaga ofa za watu kibao..ila ndo utafanya nn sasa😅😅..yaan vibia vi5 uanze kunisumbua??lol.....!huwa najihami na watoto..akitaka niendelee kunywa nasema narudisha wanangu..kumbe sirudi🤔🤔..ila ukitaka kumuweka sawa zungusha na ww round km 2 hv...
 
Dah samakini nimepamis sna moro town ila kuna mahali panaitwa black and white pana watu class flan hivi niliwah kutana na mkuu wa mkoa meza moja hapo na akanipa bonge la dili.. pombe ziheshimiwe kwa connections
 
Nakuunga mkono...jitahid uwepi kwa group lao la wasap..wanajua kula bata watu wa pande zile balaa napamis mnoo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…