Yeyote anayefahamu selection za vyuo vya afya hasa diploma ya clinical medicine

Yeyote anayefahamu selection za vyuo vya afya hasa diploma ya clinical medicine

0767854945

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
74
Reaction score
2
jamaani ndugu zangu nimejaribu kufanya uchunguzi wa majina ya waliochaguliwa vyuo vya diploma ya clinical medicine mwaka jana kama vile kibaha,mafinga,mtwara,lindi,kilosa,nikagundua majina huwa wanachagua kikanda hasa hiyo dip ya co,je kuna ukweli wowote juu ya hilo wakuu anayefahu anisaidie jamani
 
Back
Top Bottom