jamaani ndugu zangu nimejaribu kufanya uchunguzi wa majina ya waliochaguliwa vyuo vya diploma ya clinical medicine mwaka jana kama vile kibaha,mafinga,mtwara,lindi,kilosa,nikagundua majina huwa wanachagua kikanda hasa hiyo dip ya co,je kuna ukweli wowote juu ya hilo wakuu anayefahu anisaidie jamani