pebo da great
Member
- Nov 17, 2011
- 20
- 1
wana jf habari zenu. Tafadhali kwa yeyote anayejua ni lugha gani inatumika katika interviews za utumishi naomba msaada. Na la pili kama kuna yoyote mwenye idea na written za utumishi pia asisite kunijuza.
Asanteni sana
Asanteni sana