P pebo da great Member Joined Nov 17, 2011 Posts 20 Reaction score 1 May 9, 2012 #1 wana jf habari zenu. Tafadhali kwa yeyote anayejua ni lugha gani inatumika katika interviews za utumishi naomba msaada. Na la pili kama kuna yoyote mwenye idea na written za utumishi pia asisite kunijuza. Asanteni sana
wana jf habari zenu. Tafadhali kwa yeyote anayejua ni lugha gani inatumika katika interviews za utumishi naomba msaada. Na la pili kama kuna yoyote mwenye idea na written za utumishi pia asisite kunijuza. Asanteni sana
mankipe Member Joined Mar 7, 2011 Posts 96 Reaction score 13 May 9, 2012 #2 english...afu kuwa specific written interview ya course ipi?