H Hekima Ufunuo JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 220 Reaction score 11 Oct 10, 2010 #1 wakuu haya siyo maneno yangu ni ya Mwanafalsafa Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa raisi wa kwanza wa Tanganyika huru. Swali. Katika wagombea hawa tulionao sasa hivi hasa wa uraisi, ni yupi kati yao anayeenda kutafuta faida pale IKULU?
wakuu haya siyo maneno yangu ni ya Mwanafalsafa Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa raisi wa kwanza wa Tanganyika huru. Swali. Katika wagombea hawa tulionao sasa hivi hasa wa uraisi, ni yupi kati yao anayeenda kutafuta faida pale IKULU?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Oct 11, 2010 #2 "Tumwogope kama tunavyomwogopa mwenye ukoma" Ndivyo Nyerere alivyotuasa
Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 308 Oct 11, 2010 #3 Katika wote JK ndiye anaonekana anapigana kufa ama kupona kuhakikisha anabaki pale, ni huyu pekee ndiye anapata sifuri kwa kigezo hiki cha Mwalimu cha kumchagua mtu kuwa rais
Katika wote JK ndiye anaonekana anapigana kufa ama kupona kuhakikisha anabaki pale, ni huyu pekee ndiye anapata sifuri kwa kigezo hiki cha Mwalimu cha kumchagua mtu kuwa rais
A August JF-Expert Member Joined Jun 18, 2007 Posts 9,327 Reaction score 5,206 Oct 11, 2010 #4 jamani nyinyi mnategemea turudishe vipi hela ya mabango, t-shirt, fiesta, kapello nk,
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,511 Oct 11, 2010 #5 august said: jamani nyinyi mnategemea turudishe vipi hela ya mabango, t-shirt, fiesta, kapello nk, Click to expand... si mchezo billion of tsh zimepotea kwenye mabango!
august said: jamani nyinyi mnategemea turudishe vipi hela ya mabango, t-shirt, fiesta, kapello nk, Click to expand... si mchezo billion of tsh zimepotea kwenye mabango!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Oct 11, 2010 #6 na unategemea turudishe vipi nguvu ya familia kuzurura mikoa yote kuomba kura?