Yeyote atakaeshabikia Argentina leo usiku alaaniwe

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Sidhani kuna mtu mwenye akili na ufahamu atathubutu kuishabikia timu ya taifa mpira Argentina. Na kama watakuwepo wanahitaji msaada na walaaniwe.

Wanavyomtukana na kumdhihaki Lamine Yamal wetu haivumiliki.

Na leo Mungu atamuinua kijana wetu Lamine Yamal na ataibuka mchezaji bora na kuisadia Uhispania kutwaa kombe la dunia.

Na istoshe baadaye mwisho wa mwakaa atatwaa tuzo ya Ballon D'Or.

Hiyo bado haitoshi kinda huyo ataipaisha Barcelona na kutwaa Uefa champions league mwaka kesho may 2027.

Lamine Yamal afumbe macho na masikio kutoka kwa mabaguzi. Aweke umakini katika mechi ya leo Fainali

Kutoka chini kabisa sakafuni mwa moyo wangu naweka wazi hata MODS ni mashahidi namchukia Messi na Argentina hata huyo Ronaldo sijawahi mpenda.

God bless Lamine Yamal.

 
Sawa tu haijalishi! Yaani uache kukashabikia ka Messi uende wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…