Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Nahitaji mawasiliano na watengenezaji / viwanda au waingizaji wa nywele bandia hapa nchini;
Rasta, Weave na hair extensions
yeyote aliye nazo aua anayezifahamu naomaba naijulishe tafadhali
mtafute jamaa mwenye namba 0713947070 Atakusaidia
Mh, mkuu naona umejipa kazi ya udalali hapo ule cha juu! Mjini shule!
Achana nae loser huyomheshimiwa Mizizi,unanikosea heshima,naomba unitake radhi.jamaa anaitaji wahusika wanao dili na bidhaa husika kama alivyo eleza hapo juu.nashangaa unatoka na unapotokea kuniita dalali.tatizo liko wap kumuonganisha mtu au!enewe potelea mbali madamu siibi cha mtu