Watu waombe na kusali Kwa ajili ya mengine sio kuhusu hayo!!
Tuna akili timamu,tuna vyombo vya ulinzi,tuna dola inayoonekana na isiyoonekana,tunashindwaje kutumia vyote hivyo ku stabilize mambo Hadi tuanze kuomba wakati Kila kitu Mungu katupa!!?
Wakati wanajeshi wanalinda mipaka,ilitazamiwa wanasiasa walinde Mali zetu kama waneshindwa Dola inatakiwa ifanye KAZI yake nayo ni kuwaingilia wanasiasa kwenye maamuzi na hatma ya nchi kuliko kuwaachia wao peke yao Ili waendelee kuharibu!!
Sasa hao unaowataja kama wameshika Hadi vyombo vya Dola na vikashikika ni rasmi na Dola itakua haijatimiza wajibu wake kwa kushikwa na Jao watatu uliowataja!!
Nawaza TU na kudhani kama kawaida yangu!!