Ninacho kimoja General GRE Test 10th edition.Kama uko UK chaweza kukufikia @postage cost.Otherwise its uneconomical might as well buy it from them.
Nataka kufanya GRE Test,nategemea kurudi shule mwakani .Yeyote pale mwenye material yatakayo wezasha kufanya maandalizi ya hii test tafadhali!
Nafahamu yale ktk web fulani unalipia kama za priceton review na zinginezo.Nachotafuta ni unafuu kama kuna mtu tayari anavyo vitu kama hivyo.
Kama ntapata pia yaliyo maalumu kwa mchepuo wa uhandisi itakuwa ni furaha kwangu.
Natanguliza shukrani zangu.
Ndimi,
Mutu.
Kama unaishi NY (USA) UNASHINDWA NINI KUTAFUTA VITABU VYA GRE MBONA VIPO VINGI SANA , UNGEKUWA TZ NINGEKUELEWA LAKINI KAMA UPO US, HAPO NI KAZI KWELI KWELI, SIJUI UNATAKA KITABU/VITABU GANI BADO SIJAKUELEWA, AU NI WALE WATOTO WALIOKULIA KWENYE FREEZER MAANA UKITOKA NJE YA HIYO NYUMBA UNAYOISHI NENDA MAKITABA/WEBSITE YEYOTE UTAPATA ZAIDI YA VITABU 1000 VYA GRE VINAKUSUBILI UVISOME,
Amazon.com: GRE: Books
Wewe mbona unaongea kama umekalia kitu! mimi nimeuliza kama mtu anavyo hapa kama hizo web nani asiyejua na nimeeleza wazi najua hizo review au ndio unataka kunifundisha kutumia search engine?
Natilia shaka jinsia yako inaonekana unaviasilia vya jinsia zote mbili ,nainakufanya kuwa (tusi)baridi.Acha kudandia gari la jeshi kwa mbele (tusi)wewe.Kwani ningekuwa Tz hakuna internet (tusi)yako ya nyuma.[/QUOTE]
my goodness!
Sasa matusi ya nini kama unahitaji kusaidiwa? Hii itafanya watu washindwe hata kukupa mchango wa mawazo kutatua shida yako. Tuwe wastaarabu!
Wewe mbona unaongea kama umekalia kitu! mimi nimeuliza kama mtu anavyo hapa kama hizo web nani asiyejua na nimeeleza wazi najua hizo review au ndio unataka kunifundisha kutumia search engine?
Natilia shaka jinsia yako inaonekana unaviasilia vya jinsia zote mbili ,nainakufanya kuwa (tusi)baridi.Acha kudandia gari la jeshi kwa mbele (tusi)wewe.Kwani ningekuwa Tz hakuna internet (tusi)yako ya nyuma.
Sijaifanya lakini sehemu zote nilizokwenda sijaulizwa GRE......Hivi wakuu naomba kuuliza..
Haiwezekani mtu kupata admission kwenye chuo kama hiyo GRE hujaifanya? hata kama ni kigezo ambacho wameweka? cant they give you an exemption? au wakishasema ufanye hiyo GRE hakuna pa kutokea ni lazima uifanye? I just want to know if each case is treated on its own..or rules are just rules and they have to be adhered to! Na kama wanaweza kukupa exception ni vigezo vipi wataangalia?
Anybody ambaye ameshawahi pata exemption ya kufanya GRE na akapewa admission yake kwenye shule especially huko USA! Katika course yoyote!
Wewe mbona unaongea kama umekalia kitu! mimi nimeuliza kama mtu anavyo hapa kama hizo web nani asiyejua na nimeeleza wazi najua hizo review au ndio unataka kunifundisha kutumia search engine?
Natilia shaka jinsia yako inaonekana unaviasilia vya jinsia zote mbili ,nainakufanya kuwa (tusi)baridi.Acha kudandia gari la jeshi kwa mbele (tusi)wewe.Kwani ningekuwa Tz hakuna internet (tusi)yako ya nyuma.[/QUOTE]
my goodness!
Sasa matusi ya nini kama unahitaji kusaidiwa? Hii itafanya watu washindwe hata kukupa mchango wa mawazo kutatua shida yako. Tuwe wastaarabu!
Ndio ni sahihi kabisa ulichosema WomenofSubstanc na nimeshukuru kwa michango niliyopewa .
Ila kwa kuwa huku kijakazi aliyeongea maneno mbofumbofu kwangu ni mtu special na katoa mchango special kwa hiyo sikuwa na budi na mimi ku-treat so special.
Vinginevyo samahani kwa nilio wakwaza siko rude hata ukifuata record yangu ila I can work all kinds .
Sijaifanya lakini sehemu zote nilizokwenda sijaulizwa GRE......