YNWA :Asanteni Wolves

Punguza povu, sijasema mess hana uwezo, ninachosema Mess nje ya barca ni mchezaji ambaye athali zake ni ndogo, Ndio maana nikakupa mfano akiwa timu ya Taifa ambako Mess anakua nje ya Barca uwezo wake unapungua yaani ata ma beki wa Bolivia au Venezuela wana mzuia bila shida yoyote.
Ata ikitokea Mess akaja na Timu yake ya Taifa ya Argentina kucheza na Timu yetu ya Taifa basi Beki wa Stars mfano Mwamnyeto anaweza akamzibiti Mess na asifurukute. Mess ni wa Barca tu na mwenyewe Mess analijua ilo, Siku akiondoka Barca ndio siku mpira wake wa maajabu unaishia pale. Uko anako kwenda atakua kama Fillimino au Rashford.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool anajifukuza mwenyewe kuelekea ubingwa.. Timu za nyuma yake sasa hawamtazami Liverpool ila wao kwa wao huko chini
Round ya II atakamiwa sana ila kumtoa pale sio leo... Wako form ya hatari
 
Mkuu huyo Messi unamuongelea wa Shitimbi au?
Ni huyu ambaye unasema Hana kitu timu ya taifa lakini aliibuka mchezaji Bora kombe la dunia?

Tatizo la timu linaweza baki kwa timu nzima...Mbona Samatta hakiwashi bongo?

Team kama Argentina inakosa myunganiko wa kitimu...Mbona kina Angel di Maria na Aguero wanasanda vile vile

And because jamaa Ni fundi,ndo maana hamuachi kumuongelea....humu kwenye uzi Wala Messi hajatajwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajiulize swali moja tu, kama Mo Salah kaweza kui-conquer EPL, ndio King Messi ashindwe? He will do it majestically in a cold rainy night against any kung-fu like tackling sides from EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ronaldo amefunga Juventus Giant wa Seria A ila Leo yupo anakimbizwa tu na akina Lukaku,uwezo wa mchezaji ktk ligi Fulani hupimwa akiwa ktk ile ligi na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu unalosema, lakini kwa ishu ya Ronaldo naona yeye yupo kwenye Diminishing return, hawezi kucheza kama zamani, umri umemuacha japo bado ni mchezaji mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usirudie tena kumfananisha Messi na ujinga. Hizo timu zote kubwa hapo EPL amezitungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Y Ronaldo performs well to both national and club squads?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…