Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Kuna Tetesi kuwa baadhi ya wanaJF walikumbwa na matatizo ya mabomu, yaliyolipuka week iliyopita...mmoja wapo ni Yo Yo akiwa kwake Kinyerezi bomu liliangukia miguu yake na sasa anaendelea na matibabu Amana...mwenye taarifa za Yo Yo tafadhali....ama Mod Mumemfungia kimya kimya
Masa & Bellies
Masa & Bellies