Yo Yo hii avatar yako inanitesa, kila nnaposoma post zako, mjukuu wangu, ambae anapenda kukaa na mimi nnapokuwa jamvini, huanza kutaka kumkamata huyo ''dudu'', kisha chafuwa sana ka laptop kangu (kwa udenda uliochanganyika na kuti'' (biskuti)) alichonitunukia babake (mwanangu).
''babu dudu, dudu'', toka nilikuwa nacheka mpaka sasa naona hicho kidudu kitanitia damage. Halafu cha kushangaza, hata akiwa mbali anakiona! anakuja mbio kutaka kukikamata.
Any damage to my laptop kutokana na madenda na ''kuti'', bill comes to you Yo Yo.
Huyo mjukuu wako atakuja kuwa m-zoologist!