Yoav Gallant akabidhi ofisi kwa mrithi wake Israel Katz, ajutia hasara waliyoipata vitani pamoja na kushindwa kukomboa mateka

sasa ilibidi hivi washeherekee sio kufukuzana mzee mbon unajichanganya?ipi sababu ya kumfukuza jamaa kama kweli wamefanikiwa kule GAZA!!!

Hamas ipo na itaendelea kuwepo
Ni muda wa Gallant kupumzika sasa anaingia waziri mpya kuendeleza awamu mpya ya mapambano dhidi ya magaidi.
 
Picha please!
 
Ile kesi ya Gallant na Netanyau kule ICC itaendelea bila shaka japo kaachia uwaziri.
 
Trump hawezi kushindana na Waislam sababu Waislam ni wanaume hawatishiki na silaha ya aina yeyote ile, dalili hapo Gaza. Ingekuwa Israel anapigana na wakristo wangeisha inua bendera nyeupe wakristo zamani.
 
Kaka unajua Sana kupambana, tafadhali usikate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…