Yoga au Umughaka?

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Hebu leo tujadili vichwa hatari sana kwa leo kwa story

Je ni umughaka aliyeandika 👇




Au YOGA 🧘‍♀️ mwandishi na mtunzi wa👇
 
For me asee hawa wako sawa yaani kimono ni CO-EQUAL
 
Nawapa marks nusu nusu 0.5 Yoga na 1-0.5=Omughaka
Asee hivi viumbe km Messi na Ronaldo ukimsoma mmoja...unaweza mkataa mwingine...tena ukimfuata mwinginee unaweza mkataa wa mwanzo


Yaani wanajua sana
 
Wako njema wote kila mmoja ana namna yake ya uandishi na wote wanafurahisha kusoma maandiko yao
 
Huyo Yoga ana story ngapi ??
 
Mmoja hapo anatupitisha kwenye maisha ya kawaida kabisa ya mtanzania na kwa hilo yupo juu

Na mwingine anatupitisha kwenye upande wa pili wa mifumo ya kisirikali ilivyo na namna inavyo tenda kazi na kwa hilo yupo juu.

MARKS
50/50 kila mmoja anamkamilisha mwenzake
 
Shida hawa viumbe km wanatoshana nguvu🤣🤣
 
Wako njema wote kila mmoja ana namna yake ya uandishi na wote wanafurahisha kusoma maandiko yao
Umeona.... sema uzuri wa UMUGHAKA anakupa heavy lunch ......yoga anaacha arosto
 
Muache Umughaka. Watani zangu wana akili sana. Akiwa mjingamjinga anakua tu mwenyewe kaamua.
 
Kwenye list ongeza hili jina Analyse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…