Yoga ndo kafanya nizame mazima

Yoga ndo kafanya nizame mazima

FourTwoNet

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
1,236
Reaction score
2,512
Nimekuwa JF miaka kibao sana...ila sjawai jiunga nikaweka na comment. Nilikuwa napitia tu....yaani kula na macho.

Ule uzi wa yoga ndo ukanimaliza....nikaona wivu wana wanavyopiga macomment pale...dah

Kidogo kidogo ndo huyu mimi!!!! Mpaka pale kwa rikiboy nshahudhuria kijiwe. Ngori bin wazimu. Hivi si mtu anaweza jitwalia mzigo wa kimasihara huku JF.

Maanake kuna avatar zingine kama ile ya Antonnia wazimuuuu!!!!

JF addictive kuruka. Sa ntakuwa ii idhaa nawaleta juu left right and centre.....blunder sana.
 
Back
Top Bottom