Yohana mkomola aitwa taifa stars kukipiga zid ya benin

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Yule mtoto serenget boy ameitwa na kocha mayanja kujiandaa na mchezo wa kuivaa benin utakaopigwa tarehe 11

Kijana huyo mwenye miaka 17 sizan kama atafurukuta mbele ya wanaume wenye miraba minne

Mayanja umekosea sana kumuita huyu dogo


LONDON BABY
 
Walcot, Pele walikwenda world cup wakiwa 17, acha dogo akapate uzoefu! Actually ndivyo itakiwavyo, kwenye kila position inatakiwa kuwe na first teamer, msaidizi na kijana anayechipukia
 
dogo anajua sana! anaweza kukontro na kutulia hata ndani ya 18! Nadhan anakwenda kuondoa gundu kwenye safu ya ushambuliaji timu ya taifa.
 
Ngoja uitwe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…